🤣🤣🤣Pdf tatu zilizo toka kwa mkupuo manafikili leo watoe tena sahau
Twendelee kuvuna mpinga na mahindi tu, tupate chakula ili tushibe
Duuh Nyani Haonii......Jamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
Kumbe ndo maana watanzania wazelendo na nchi yao ila hawatoi kodi katika biashara zao kwasababu wamejitafuta wenyewe kwa ugumu bila kupewa msaada au mkopo wowote na serikali kwa ujmla afu wakipata au kufungua kampuni zao eti walipe kodi kwa hali hii lazima watu wakimbie kodiTwendelee kuvuna mpinga na mahindi tu, tupate chakula ili tushibe
Bado mkuu
Subiri hadi upate barua ya uthibisho kazin na inatoka hadi mwaka 1 uishe tangu upate ajira. Tofauti na hapo uwe na connection kali saanaaaaa.Bado mkuu
Hakuna kitu hata keshoShwaaaaaa ...tuombe kesho
Tusife moyoHakuna kitu hata kesho
Kama upo kwenye fani za post hizo jaribu bahati yakoView attachment NAFASI ZA UHAMISHO JUNI, 2024 (2).pdfJamani nataka kuhamia wizarani sina connection🥲🥲nmechoka halmashauri
Barikiwa sana bossKama upo kwenye fani za post hizo jaribu bahati yakoView attachment 3008819
Kama upo kwenye fani za post hizo jaribu bahati yakoView attachment 3008819
Ni shidaDuuh Nyani Haonii......
Subiri hadi upate barua ya uthibisho kazin na inatoka hadi mwaka 1 uishe tangu upate ajira. Tofauti na hapo uwe na connection kali saanaaaaa.
Hapa hawezi kuwa na sifa hao ni daraja la 1 wakati yesamrich ajira mpya yaani daraja la II,hata barua ya uthibitisho bado hajaipataKama upo kwenye fani za post hizo jaribu bahati yakoView attachment 3008819