Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,120
Mmmh wengi tuIvi data base saivi itakuwa na watu wangapi waliyo Baki jumla? πππ
Nafikiri ivo wanachukua wa nyuma na saizi wanachanganya angalia mikeka iliyopitaUnasema?
Yap nadhani wale wa mwaka jana mwezi wa mwisho ndo huu usipopata apo mama Jeni bye bye.Database jina linakaa mwaka...kwahiyi kuanzia mwaka jana
Sawa, anza kupambana sasaNimegair sahivi nataka taasisi au wizara[emoji23]
Tupo,lete mpya mkuuJobless
Unaelewa unavyoambia database inakaa mwaka mmoja sasa wa mwaka jana mwezi huu wa mwisho kiajeYap nadhani wale wa mwaka jana mwezi wa mwisho ndo huu usipopata apo mama Jeni bye bye.
Maana yake waliofanya usahili mwezi wa sita 2023 wameshamaliza mwaka.Unaelewa unavyoambia database inakaa mwaka mmoja sasa wa mwaka jana mwezi huu wa mwisho kiaje
Database ni zaidi ya mwakaYap nadhani wale wa mwaka jana mwezi wa mwisho ndo huu usipopata apo mama Jeni bye bye.
Mbona kama unafoka mkuu.Unaelewa unavyoambia database inakaa mwaka mmoja sasa wa mwaka jana mwezi huu wa mwisho kiaje
Jibu swali so mtu aliyefanya interview mwezi wa 12 mwaka jana kufikia wa sita htakiwa kwa databaseMbona kama unafoka mkuu.
Huyu jamaa achana nae alibishanaga na jamaa mmoja sana humu namjua ni mbishiDatabase ni zaidi ya mwaka
Sawa uko sahihiJibu swali so mtu aliyefanya interview mwezi wa 12 mwaka jana kufikia wa sita htakiwa kwa database
Nadhani sahihi broo wamefururiza sanautumishi wako kwenye semina uko iringa.pdf mpaka wamalize
Umejuaje,halafu Web nzito kuna jambo nnπutumishi wako kwenye semina uko iringa.pdf mpaka wamalize
Semina za nn tena,wanaacha kuachia mikekautumishi wako kwenye semina uko iringa.pdf mpaka wamalize
hizi pdf mbili za mwisho zilikua si mchezo mpaka zitoke nyingine itabidi tusahau kwanzaNadhani sahihi broo wamefururiza sana
semina za kuwafundisha saikolojia za majobless wakati wa interviewSemina za nn tena,wanaacha kuachia mikeka