Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TRC nao si waanze safari hiyo tarehe 14 wachukue watu wao database, najua ni ngumu kuelewa na kunielewa, wizara ya uchukuzi hivi haiajiri watu duh naona wizara ya ardh, wizara ya ujenzi, Elimu, mambo ya ndani , ulinzi na jeshi la kujengaa taifa, ndo zinachukua watu utumishi(database)
 
kweli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…