😂😂😂😂 IT kajua kutuumbua, kaja kivingine na hatabiriki.Amkeni jamani,
Vimulimuli vya placement vyote vimezima😂😂😂
Mbona kuna kundi kubwa la watu linasubiri pdf la TRC interview imefanyika 20 MayTRC nao si waanze safari hiyo tarehe 14 wachukue watu wao database, najua ni ngumu kuelewa na kunielewa, wizara ya uchukuzi hivi haiajiri watu duh naona wizara ya ardh, wizara ya ujenzi, Elimu, mambo ya ndani , ulinzi na jeshi la kujengaa taifa, ndo zinachukua watu utumishi(database)
Hivyo vinazimika automatic nadhan baad ya siku 5 au 6🤣🤣🤣Amkeni jamani,
Vimulimuli vya placement vyote vimezima😂😂😂
Jidanganye wazee wakucbungulia tunajua mzee tumeanza kufuatilia pdf tangu mwaka jana kuna vimulimuli vilikuwa vinakaa hadi mwezi .Hivyo vinazimika automatic nadhan baad ya siku 5 au 6[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Same here, nmeamka nkasema nichungulie web nakuta vimezima nimejikuta nmechia tabasamu zito uku moyon nikifurah utadhan nishaona jina langu kwnye pdf🤣🤣🤣toka nizaliwe sikuwahi kufikiria kua ipo siku mimi nitakuja kufurahia vimulimuli kuzima.kweli kua uyaone 🤣 🤣
Hawajaitwa kabisaMbona kuna kundi kubwa la watu linasubiri pdf la TRC interview imefanyika 20 May
Database ya lini Pina...Same here, nmeamka nkasema nichungulie web nakuta vimezima nimejikuta nmechia tabasamu zito uku moyon nikifurah utadhan nishaona jina langu kwnye pdf[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ukiliona jina lako siku hiyo aisee unatamani umpigie kila mtu ajue plus safari hiyo ya kwenda Dar inaonekana furaha TupuIT anaandaa pdf nzito...tutafute pa kukopa nauli kabisa
asante sanaKama ni hizi written za online eneo utaandikiwa kwenye akaunti ya ajira portal utaandikiwa venue kulingana na address Yako ..na Huwa hawachelewi kama umeshaitwa bhs subiria siku tatu ama nne ukitembelea kwenye akaunti yako utaona tu venue .. Asante
Walai ukiwa na baby unaweza kumpa na kumruhusu amwagie ndani[emoji1787][emoji1787]sijui itakuaje ndo nijikute kwnye pdf [emoji3]
It was January but ndo ivo wanaita kidg kdgDatabase ya lini Pina...
Kheee aya makubwa tenaaaa🤣🤣🤣🤣🤣,I'm single sidate mpaka nipate placement uko😉😉Walai ukiwa na baby unaweza kumpa na kumruhusu amwagie ndani
Amiin yaraab, Mungu asikie kilio chetuTuzidishe maombi...
Unakuwaje single upwiru unaupunguzia wapi?Kheee aya makubwa tenaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],I'm single sidate mpaka nipate placement uko[emoji6][emoji6]
Duuh mimi August last year.It was January but ndo ivo wanaita kidg kdg
Amen Amen baba mchungaji.Tuzidishe maombi...