Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Amen tuendelee kuombeana kakahii inatia matumaini nimeona watu wa afya wamesombwa aisee kaa mkao wa kula
mie inafungukana web naona ni nzito kuna pdf nyingine wanapandisha nn au kwangu tu
Neema inafunguka kwao sasa......Wazee wa afya leo zamu yenu..hongereni sana
Kweli..lakini afya na walimu huwa wanasombwa kama samaki imekuaje wanapewa wachache hvNeema inafunguka kwao sasa......
Database hii.Kweli..lakini afya na walimu huwa wanasombwa kama samaki imekuaje wanapewa wachache hv
Ok sawa...Database hii.
Tulifanya mwaka jana.
Inaonekana wizara ya afya haina kibali mwaka huu cha ajira
.kumbe wanchukuaga adi 30
We tena isifunguke kwako😅mie inafunguka
kwahiyo hadi pdf lingingine mpaka lini hapoWe tena isifunguke kwako😅
Hapa 1/7kwahiyo hadi pdf lingingine mpaka lini hapo
duhhhHapa 1/7
Ila Tusikilizie sikuiz mbili leo na keshoduhhh
Mm sijaelewa kwakwelHayo matokeo vp...
.
Najionea mazing zong tu apakwahiyo hadi pdf lingingine mpaka lini hapo
Kesho kuna pdf lingineNajionea mazing zong tu apa
Sawa ngoja tusubiriKesho kuna pdf lingine
Ila sasa hv wametuchoka kweli..pdf saa 12 jion kama tumekua waganga wapenda gizaSawa ngoja tusubiri