Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hadi kelele na kuwambia ukweli ndo wanafanya!, wanatangaza ajira alafu hawana umuhimu na watu wanao subiri placement, huu ni ujinga sana, watu wazima n tunawaamini katika jamii afu kumbe ni wapuuzi, sizungumuzii psrs nazungumzia system nzima ya serikali upande wa ajiri ikiqemo tasisi, mashirika ya uma , idara, wizara na agency na wanao siamia mchakato pia psrs why wasi pressurize hao wakuu wa vitengo katika hizo tasisi na wizara n.k wachukue watu wao utumishi wapangiwe placement!
 
Kuna jamaa yangu kalipoti juzi juzi kazini, na nilifanya Nae usaili lakini anakwambia alipo fika kazini alikuta kuna wahasibu wa kujitolea kalibia 8 na wanamuheshimu kama nini yeye aliyefanya usaili na akatoboa😂halfu huwa najiuliza,sijui huwa wanapataje hizo intership na nadhani ndo maana taasisi nyingi zinachelewa kuita watu kazini🤔
 
haya TBC wametoa ajira uko
Nashindwa kuelewa

Mwaka huu Februari nilifanya interview ya TBC ya photojournalist nikafika mpaka oral ila kwenye pdf nikachinjwa.

Leo wametoa kazi afu kuna mahali nafit kama ilivyo mara ya kwanza kwenye interview ya photojournalist na qualifications ni zile zile ambazo nilifanyia interview.

Kwahy inamaana kuwa nilifeli oral?
Sawa kwahy inamaana wngn wote tulifeli hvy hakuna aliyekuwa kwenye kanzidata ili apangiwe kwenye hii kazi iliyotoka leo?
 
Psrs hawaeleweki, we subir tu nafas yako ipo
 
Mkuu nenda tu kwnye hii interview tena usiiache kabisa
 
kama ndo ivo basi we apply tena tu kama inawezekana hiyo ndio unatoka sasa..
 
UTUMISHI PSRS wa Sasa ni wa kishamba sana.

PDF jumatatu hadi ijumaa weekend hakuna.

PDF page mbili mwisho.

PDF mwanzo wa mwezi hakuna mpaka tar 15 ya mwezi.
 
😂tatizo marks za oral ni siri yawesekana ulipata 25% na ata wenzako hamkufika 50% endelea kuomba tena na udhuria usaili mkuu
Nafasi yako yaja,kuna mahali pazuri zaidi mungu kakuandalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…