Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kijana wizy hakuacha kunipa nasaha mbali mbali ambazo zilinibeba kwa kweli. Ubarikiwe sanaaaa kiongozi
Labda hiki ulichokifanya kinaweza kuamsha huu uzi, maana na mimi nilijiunga na huu uzi kwa sababu niliona nyuma kuna msaada wa tipsza psrs, lakini kinachonishangaza ni kutopokea majibu, sasa sijui wa kada yangu ndo hawamo humu?πŸ₯²
 
Hii kitu ndio ilikuwa final kwangu. Ni kwamba Mwifwa alisema hii ilimsaidia kupata maswali mawili kwenye interview yake ya NAOT. Namimi nikaona kwann nisitafute kitabu kama icho kwa upande wa Takwimu. Niliingia NBS ( NATIONAL BUREAU OF STATISTICS) Nilikikuta na kukipakua.
Huwez amini written sikukuta swali hata moja lakin nilivoingia oral nilikutana na msawali Matatu yawazi kabisa na majibu yapo mule.
Maswali niliyoulizwa oral
1. Explain about yourself
2. Features za Parameter and Estimate
3. Procedures za kukusanya taarifa ukiwa sehemu ngeni ya kazi
4. Guidelines za kukusanya Takwimu
5. Features of Normal Distribution.
Swali la pili mpaka la nne lilikuwa kwenye icho kitabu ila swali la kwanza na la mwisho nilishayafanyia kazi toka mda tu.
Nikajikuta napata matumaini ya kupata kazi na ikawa ivo kama Mungu alivopanga.
MWISHO. Nawapa shukrani wengi walionipa moyo na kunipa ushirikiano kwenye kipindi chote cha utafutaji Mungu awabariki sanaaaaaaa.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240710_095615_Chrome.jpg
    713 KB · Views: 11
Nilimuona Dr. Ntuli Kapolongwe wa OR-Tamisemi kule Linkedln alipost hii guideline. Nikaona watu wanamuomba awatumie na mimi nikamuomba akanitumia.

Jana tu nimekaa kikao na huyu Dr ambapo kwa sasa yupo Wizara ya Afya.(sijui kama ananikumbuka, ila mimi namfahamu japo sikuwahi kukutana naye live zaidi ya kumuona mitandaoni, jana ndio nimemuona live)[emoji2][emoji2][emoji2]

Any way, Dunia ndio inavyozunguka hivi wakuu
 
Hahahaa.

Uliupiga mwingi sana mkuu.

Hongera sana kwa kukamilisha hiyo mission
 
Wakuu msaada nimejibiwa hivyo na wakati vyeti vyote niliupload kwenye acc yangu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240710_112907_Chrome.jpg
    21 KB · Views: 10
Just mention no need to explain πŸ˜‚,ivi ukiambiwa mention 5 kuna wanao explain in details,isije ikawa umeenda out the question?
Kama kwenye written fanya ulivyo ambiwa lakini kama ni kwenye oral eleza kidogo lakini muhimu ni kuzingatia muda hata kwenye written ni muda muda muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…