placement ziko automated...kuna mfumo wa placement kwa hiyo yeye katibu ana authorise tu popote atakapokuwaLeo hamna pdf Katibu alikuwa katavi aananza kusaini leo nadhani kuanzia jumatano.
Oral nilifanyia dom, nakumbuka nilala msikiti wa wanafunzi. chuo kilikuwa hakijafungwa.
Ndio akili zako zilipoishia hapo. Unafikili kila kazi ya serikali inahitaji GPA kama ya ukufunzi wa vyuo.Kaka nimecheka hapa nakumbuka 2018 kuna bro anamaliza chuo ana GPA ya 2.3 yule hatakaa apate kazi🤣🤣🤣😍😂😂😂😂 alikua anasup kila semester
Hiyo permanent n pensionable sio baada ya mwaka? Au mambo yamebadilikaKuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .
Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.
Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.
Unamaanisha nini?Hiyo permanent n pensionable sio baada ya mwaka? Au mambo yamebadilika
Barua ndio imeandikwa hivyo mkuu.Hiyo permanent n pensionable sio baada ya mwaka? Au mambo yamebadilika
Hongera sanaKuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .
Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.
Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.
oya ukizoea nifanyie mpango hata niwe mkata tiketi huo ujuzi ninaoKuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .
Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.
Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.
Bas hiyo safi....mim nilijua mpk umalize mwaka ndio upewe permanent contractBarua ndio imeandikwa hivyo mkuu.
Barua ya kudhibitishwa kazini inaitwa. Hii ni offer of appointment.Bas hiyo safi....mim nilijua mpk umalize mwaka ndio upewe permanent contract
Kweli kabisa kiongoziHuwa ni jambo zuri kuweka low expectations, hii inakufanya kutoumia kwa matokeo yoyote yatakayotokea
Sawa sawaBarua ya kudhibitishwa kazini inaitwa. Hii ni offer of appointment.
Mmekaa sana training naona mtakuwa na maokoto ya kutosha ya training..Kuna furaha flani unapewa offer imeandikwa permanent and pensionable .
Jana tumemaliza induction kozi leo
Tupo tunasubili HQ.Trc post letter tukaanze kazi.
Usikate tamaa, siku moja mungu atakukumbuka.
Ahaha maokoto madogo.mkuuMmekaa sana training naona mtakuwa na maokoto ya kutosha ya training..
Induction imefanyika kwa wiki moja?Ahaha maokoto madogo.mkuu
huyu jamaa anataka kutukata moto sisi wenye gpa ya 2.0 wakati pepa za utumishi sisi ndo tunaibuka ma TANZANIA ONE. 🤣 🤣🤣Ndio akili zako zilipoishia hapo. Unafikili kila kazi ya serikali inahitaji GPA kama ya ukufunzi wa vyuo.
1. Tutorial Assistant (Bachelor holder)hivi kuna tofauti gani kati ya tutorial assistant na assistant recturer..???
na lecturer je1. Tutorial Assistant (Bachelor holder)
2. Assistant Lecturer (Master's holder)