ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 466
- 701
PhD holder,na lecturer je
4 daysInduction imefanyika kwa wiki moja?
Vp mkuudakika ya 90 majobless wamepaisha penat [emoji1787] [emoji1787]
fresh nambieVp mkuu
Kamakawa, Web kwangu haifunguki (ipo down shida nini?fresh nambie
Web toka watangaze hizi ajira za afya...web imekuwa slow kinomaKamakawa, Web kwangu haifunguki (ipo down shida nini?
mie mwenyewe naona inasumbuaKamakawa, Web kwangu haifunguki (ipo down shida nini?
Nilikuambia Katibu alirudi Leo kutoka katavi kuanzia kesho anasaini.dakika ya 90 majobless wamepaisha penat [emoji1787] [emoji1787]
Si haba, mumeondoka na salary ya mtu hapo kwenye allowance[emoji2]4 days
Heheheehee we unakumbuka ulisema pdf tarehe 15Nilikuambia Katibu alirudi Leo kutoka katavi kuanzia kesho anasaini.
Pdf jumatano na kuendelea
sasa mbona matangazo wanapost matano matanoNilikuambia Katibu alirudi Leo kutoka katavi kuanzia kesho anasaini.
Pdf jumatano na kuendelea
🤣 🤣 🤣 dah uliandika kwenye diary ninHeheheehee we unakumbuka ulisema pdf tarehe 15
Halmashauri zimejaasasa mbona matangazo wanapost matano matano
ikija kurudi inakuja na matangazo kama saba hivHalmashauri zimejaa
Hayo ndio yanawapa pesa...ikija kurudi inakuja na matangazo kama saba hiv
🤣🤣🤣🤣 alikuwa anasistiza hiyo...hawa jamaa hawaeleweki🤣 🤣 🤣 dah uliandika kwenye diary nin
wamemchaia mkeka..🤣🤣🤣🤣 alikuwa anasistiza hiyo...hawa jamaa hawaeleweki
utumishi sio watu wazuri yaani mtu unapanga mwezi wa sita napata kazi unashangaa miaka miwili inakata 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 alikuwa anasistiza hiyo...hawa jamaa hawaeleweki
Mapema sana...wamemchaia mkeka..