Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mm nimeshawakatia tamaa napambana na interview ijayoMapema sana...
Usikate tamaa mkuu....mwanaume inabid upambane mpk mwishoMm nimeshawakatia tamaa napambana na interview ijayo
Kiongozi share na sisi huku maana web iNasumbuaMapema sana...
Mkuu hapo nilkuwa namjib mtu kuwa leo tumechinjwa mapema sanaKiongozi share na sisi huku maana web iNasumbua
jamaa alijua utumishi wameshanyanyua mashabiki 🤣 🤣Mkuu hapo nilkuwa namjib mtu kuwa leo tumechinjwa mapema sana
Ngoja ifunguke..labda lipojamaa alijua utumishi wameshanyanyua mashabiki 🤣 🤣
Check mkeka huoNilikuambia Katibu alirudi Leo kutoka katavi kuanzia kesho anasaini.
Pdf jumatano na kuendelea
Hongera sanaAlhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu kila la kheri katika majukumu yako mapyaAlhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani
Jamaa anatuongopeaga kwa ujasiri huyu😄Check mkeka huo
dahhh aiseeHilo
Sasa ndugu unataka wenye digrii au wenye diploma wafanyiwe usaili halmashauri?Wakuu samahani hivi hayo matangazo ya kazi za utendaji mitaa, kumbukumbu sijui na drivers mnawaelewa kwanini pengine yameletwa huku naona ni usumbufu pdf ndefu mpaka inaboa
Mbona kama utumishi wanajipa makazi mengi na kuongeza ucheleweshaji wa uchakataji maana naona haitakuwa rahisi kufanya kwa haraka halmashauri zote izoo
Yawezekana hujafaulu,yawezekana umefaulu umeshatengwa taratibu tu za ndani zinasubiri kukamilika.Ila utumishi.
Watu tumepambana interview mwaka jana Oktoba, 2023 hadi oral tukafika.
Cha ajabu nafasi tulizofanyia nterview szimetangazwa tena from tamisemi. Je inamana database haifanyi kazi?
Ila utumishi, ila Tanzania.
Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sanaa Kiongozi....Ukawe Mtumishi mwemaAlhamdulilah! NAMI nimefanikiwa kulamba asali Leo.
Shukrani za dhati kwa Mwifwa ,mfwende sawadogo na wengine wote tuliokuwa tunapeana moyo hapa jukwaani