Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Issue ni kwamba kwenye oral watu wanaweza wakafeli pia .Hua Nashindwa kuelewa mnaposema khs matokeo ya kwenye web na app, kwan matokeo c n ya aina moja sasa kwann kuwe na utofauti kati ya web na app. Mfano umepata 70% c inatakiwa kuwa hvy kwenye web na app au?
Mbaga hivi umeshapata kazi?Nafsi inataka uipost ila hisia zinakuambia acha kiherehere [emoji23]
Yote ya yote ni furaha ya kupata kazi tuu [emoji123]
Madam.Hata mimi, sikuwa nimeingia mtandaoni muda kweli. Nakuja kushika simu napigiwa na watu kunipongeza. Ikifika siku unatafutwa wewe kupongezwa. El marabiosh na Utawala2025 msivunjike mioyo. Mtapigiwa simu na watu kuwapongeza. Nina uhakika na hili.
watakuja kutuua kabla ya wakati hawa nyumbuMadam.
Moyo umeshakata moto kama wewe ni mtu wa maombi niombee tu.
Maana Hali si Hali.
Ukiangalia Mzigo mkubwa ulionao familia wanakuangalia wewe halfu kile unachokitwgemea mwaka wa pili kwa ground ya kusaka ajira
Dah nipatie wap hy kazi mkuu, mm niko kitaa tuuMbaga hivi umeshapata kazi?
Kwamba ukifeli oral ndo unaandikiwa 'not selected for oral'?Issue ni kwamba kwenye oral watu wanaweza wakafeli pia .
Sasa kwa wabobovu wa usaili wanakwambia kwenye app ile ya play store uwa in a change baada ta usaili ila hii kada tuiache
Yaani mimi 2022 sikutoboa na Ajira nyingi walitoaga sasa wadau wangu wote niliopambana nao wako kazini tena taasisi kubwa .watakuja kutuua kabla ya wakati hawa nyumbu
Yap kwenye app ile unayodownload play storeKwamba ukifeli oral ndo unaandikiwa 'not selected for oral'?
27th28th au 29th May [emoji848]
Ahsante sana,,,, Hongera pia.Hongera sana mkuu. Ukawe a better version of yourself
Hapo elezea mambo matatu.SWALI LA EDUCATION BACKGROUND, UNAWEZA JBU KWA KUSEMA UNADIGRII YA KTU FULANI, UKAONGELEA EXPERIENCES YAKO KAMA VLE INTERSHIP AU TEACHNG PRACTICE KWA WALIMU VLIVOKUFANYA UWE KONK KWENYE FANI. AU UNATAKIWA UANZE NA KUTAJA MASHULE YOTE ULOSOMA KUANZIA MSNGI HAD CHUO
bora hata wewe ndugu yangu kada yako inatoa watu unapata matumaini.wengine sie wa umeme ni balaaYaani mimi 2022 sikutoboa na Ajira nyingi walitoaga sasa wadau wangu wote niliopambana nao wako kazini tena taasisi kubwa .
Aisee niliacha mawasiliano nao.
Mwaka 2023 nao mpela pela mambo Ovyo.
2024 hii mwendo wa kuchungulia pdf unaona kabisa wanachukua hadi wa June kada yako kila mkeka iko ila wewe haah.
Now namsikiliza mwamposa tu.
Yaani mimi kiukweli sitaki hata kuongea ila moyo unajua ninayopitia
Naona ht kwenye app nna selected for oral, h n usaili wangu niliofanya Februari ila watu walikuja kuitwa May.Yap kwenye app ile unayodownload play store
hapo sawaHapo elezea mambo matatu.
°General information
°work experience
°Archivement and Successful according to Work Experience ulizomention Juu.
Hilo ni swali la Explain Yourself.
Kabisa mkuu kama Kuna vijana na wenzangu humu wanaomba wasikate tamaa mm nimehudhulia nne zote sijawahi fika oral ila hii ya nne ndio nikafika oral nikaomba sana nankutaman niingie kwenye database hatimae ikawa na juzi tu hapa nimeitwa kazin
Alafu ngumu au ugumu upo written but oral ukifika kwenye ile pannel wengi sio wataalamu wa fan yako wao wanauliza maswali yaliyoandaliwa hivyo ukijibu wanaweka vema , swali la kwanza ni tell us about ur background
Kitu kingine nao wanajua hujui kingereza hivyo usijari ww jiamini jibu but usiwe na over confidence coz nao wanajua hujui lugha hata wao pia wanauliza short and clear coz lugha ni ngumu
Kwahiyo ikiwa hivyo not selected for oral, je kuna possibility ya kuwa kwenye database kweli? Maana tuulize mapema ili mikando ya MDA & LGA ikianza tujue tunaruka nayo vp ili tusiwe not selectedbaada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...