Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukikandwa na utumishi yaani kichwa unakisikia kizito wiki nzima. Usiombe kabisa maumivu ya kukandwa ya PSRS. Yaani unatakiwa uwe na panadol pembeni wakati unaangalia matokeo. ukiona tu NOT SELECTED meza panadol fasta kisha ulale πŸ˜›
 
"kwa fikra zetu za kawaida je, walimu wootee watakuwa na mtiani mmoja au huenda kutakuwa na mtiani wa physics kwa walimu wa physics ,, geography kw walimu wa geography n.k??" -Emma.
 
"kwa fikra zetu za kawaida je, walimu wootee watakuwa na mtiani mmoja au huenda kutakuwa na mtiani wa physics kwa walimu wa physics ,, geography kw walimu wa geography n.k??" -Emma.
Ht wa afya nao wana mitihani yao kulingana na nafasi walizoomba, na hvy hvy itakuwa kwa waalimu.
 
Ukikandwa na utumishi yaani kichwa unakisikia kizito wiki nzima. Usiombe kabisa maumivu ya kukandwa ya PSRS. Yaani unatakiwa uwe na panadol pembeni wakati unaangalia matokeo. ukiona tu NOT SELECTED meza panadol fasta kisha ulale πŸ˜›
Issue za kawaida sasa unaandika maarage unataka uwe selected ili iweje mkuu
 
Ndio, kama ni 50% utaiona imekuwa displayed, then baadae ndio zitafuata SELECTED, NOT SELECTED for Oral kupitia Akaunti za Ajiraportal na PDF ya matokeo
Sio kweli mkuu mfumo hautoi majibu hapo kwa hapo.
 
Naomba kuuliza hivi hiyo mitihani ya online hizo computer zinakuwa connected na internet si ndio??
Kwa hiyo ni spidi yangu tu ku google
Kwa IT ndio sahau kabisa mambo ya kuotea..
Unaweza kuvuka written lkn practical sahau kama hujui...hakuna kubahatisha...
 
Nilikuwa siko hewani kwa siku kadhaa.

Nimeona leo nimetagiwa sana na watu wakidai mimi naogopa usaili naomba niwape historian fupi yangu na utumishi.

Mwaka 2022 nilifanya usaili wa utumishi nikakandwa kwa marks kidogo sikufanikiwa kufika Oral.

Mwaka 2023 mwanzoni nikafanya tena usaili nikakandwa.

Mwaka 2023 mwishoni nikafanya usaili katika Taasisi kubwa ya afya nikatoboa Hadi oral.
Hapa kidogo nilaanza kujipa matumaini ha kazi ila mpaka sasa Olaa japo database wanaendelea kuchukua.

Hivyo niwaweke wazi nimeshaandaa module za kutosha nimesharudi shule.

Mimi nilikuwa napinga usaili kwa sababu kadhaa.

Tamisemi walikuwa wanazoa zoa wanajua mishahara yao ni miduchu.

Ila tuachane na hayo watu wa afya tujipange na usaili kwa mimi nishazoea wala siogopi chochote.

Mniombee lakini msisahau.

Usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…