Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mie naomba kuuliza iv Hawa waliopo database wanaitwa kazini kulingana na max walizopata au wanapick randomly
 
Mie naomba kuuliza iv Hawa waliopo database wanaitwa kazini kulingana na max walizopata au wanapick randomly
Hapa utajibiwa kwa kubeti, kiufupi hamna mwenye uhakika na hili maana sisi hatuhusiki huko bali sisi ni wasubiliaji tuπŸ€” yanayotuhusu sisi ni kisubilia placements na kufanya saili zao, hayo mengine tuyaache tu maana yatatuongezea pressure na pressure ikizidi tutaanza kutukana, mwisho wa siku tutamkosea na kumkufuru Mwenyezi Mungu 😎
 
Mie naomba kuuliza iv Hawa waliopo database wanaitwa kazini kulingana na max walizopata au wanapick randomly
Mshindi anapatikana kutokana na alama kubwa/Max hvy n kupasua tuu usaili zao na hata Database nako inategemea na max zako
 
Mkuu inakatisha tamaa sana aisee sijui kama wote wanapitia kama mm

Kuna wanaoptia zaidi yako mkuu, jipe moyo, all shall be well. Kuna mshkaji wangu huwa yuko taasisi yenye asali kinoma jana amegundulika ana tatizo la kisukari na kilikua kimeshaanza kuharibu figo zake. Jamaa hana raha tena ya kuishi.


Ukiwa tu mzima wa afya, ni bonge moja la baraka mkuu.
 
Mkuu
 
Hili suala la ajira janga hata marekani...mdahalo wa trump vs Kamala wametamba kuongeza ajira...
Tanzania ni worse na too bad hata serikali yenyewe haijawahi admit kwamba hili ni janga kubwa sana kwa vijana wa nchi hii kwa sasa kuliko kitu kingine chochote , Tz ajira ni ngumu na ujasiriamali pia si lelemama ,mpaka kivumbi kitimke haswaa
Mtu akikupa visa ya Marekani na kubaki Bongo hapa wewe utachagua option ipi ?
Si bora hata kwa Trump unaweza kimbizana na gigs huko kwenye warehouses za Amazon ,Walmart nk
Njoo Bongo sasa , madalali tu tunarogana kila siku kusaka riziki ,acha kabisa
Nchi ngumu hii asikwambie mtu
 
Pale kwenye Placement...ikikaribia kuandika 'currently no placement'..IT anaweka ki PDFπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…