Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😁 😁 😁 PSRS wako fair sana, vuta subra. Tovuti inapokea traffic nyingi sana as watu wengi sana wanakaribu kuingia hivyo inalemewa​
Tatizo kuna watu walikuwa hawajakopi hata Examination number!! Kuleta utulivu ni vizuri PSRS wakatoa tamko ili kutuliza hali ya hewa!! Hivi kwa sasa kuna mtu anaweza kuingia kwenye akaunti yake na akaikuta haina tatizo lolote?
 
🤔🤔🤔
 
Cheti cha Chuo hakikupigwa mhuri wa mwansheria au Hakimu.

Ila kama ulipiga mhuri wapigie simu au nenda Ofisini kwao watakuongeza kwwnye orodha.
Tena wafanye mapema kabla hawajatoa pdf la majina ya nyongeza, ndo hao ambao wanakutanaga na hizo changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…