Black Elon
Member
- Nov 2, 2023
- 93
- 116
Hizi kada nyingine zinahusiana vipi na uchaguzi? Kuna almost mwezi kabla ya uchaguzi wangeweza kupunguza wasaili wa kada kibao tu hapo kati.Hapo mpaka 28/11 baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Interview lazima... Huwezi kupelekwa MNH, kwa mteremko bila kukandwa..... Salary scale haina shida kinachoangaliwa zaidi ni MALUPULUPU....Hivi hizi ajira za muhimbili zikoje?je hazipitii utumishi?salary scale yao inazingatia scale ya serikali au ikoje?
Kuna mtu alinambia MNH mishahara yao ni tofauti na hospitali zingineInterview lazima... Huwezi kupelekwa MNH, kwa mteremko bila kukandwa..... Salary scale haina shida kinachoangaliwa zaidi ni MALUPULUPU....
Hivi hizi ajira za muhimbili zikoje?je hazipitii utumishi?salary scale yao inazingatia scale ya serikali au ikoje?
Kuna mtu alinambia MNH mishahara yao ni tofauti na hospitali zingine
jaribu kuomba wanaweza kukosea ukashangaa shortilistedOmba kazi ya examination officer Electrical Engineer Kwa NECTA
Kuna tangazo nimeliona
Aisee mi mpaka cheti ya ERB kisha expire kabisa siwezi omba kazi yoyote mpaka nirenew na nina bonge la deni la fine na michango ya ERB ,sijui hata nalipa vipi .
Ndiyo, Ni tofauti, MNH hata NPHL pia Salary ni tofauti... Hata ukiangalia kwenye tangazo lao, hawajaweka salary scale.. Kiujumla tu ukipata pale umeula maisha..Kuna mtu alinambia MNH mishahara yao ni tofauti na hospitali zingine
We Acha tu 🤣🤣🤣😂😂😂 mtoto akikataa kwenda shule wanamwambia wekataa shule tuu, somaa useje ukawa kama dalali midevu.. Daah!.
Nakumbuka kuna kipind uko nyuma kabla sijapata iki kibarua cha sasahv nilishawai kufanya kazi ya kushusha mifuko ya cement dereva alikua anatupiga madongo 'wakati mko kwenu ww na dada yako mlikua mnatega shule sasahv dada yako kaolewa aya sasa kazi kwako'. Yeye alikua anajua woote tuliokua tunafanya ile kazi tulikimbia shule..
Ina maana jina lake lilitoka chini ya wizara ya afya halafu akapangwa kituo cha afya au? Maana vitiuo vya afya vyote viko chini ya halmashauri (LGA), na post zilizotoka ni chini ya wizara ya afya (MDA). Hebu mwulizie vizuri tupate mwanga hapo! Maana kuna watu kibao bado wanasubiria halmashauri (LGA) ziteme!! Vinginevyo kama waajiriwa wa halmashauri majina yao yametoka kwa mwamvuli wa wizara ya fedha hapo watu waanze kuhesabu maumivu!DAh kuna mwamba yeye kaenda leo kufuata barua anasema kapangiwa health centre labda kama ananipanga tu
Anasema mwajiri ni wizaraIna maana jina lake lilitoka chini ya wizara ya afya halafu akapangwa kituo cha afya au? Maana vitiuo vya afya vyote viko chini ya halmashauri (LGA), na post zilizotoka ni chini ya wizara ya afya (MDA). Hebu mwulizie vizuri tupate mwanga hapo! Maana kuna watu kibao bado wanasubiria halmashauri (LGA) ziteme!! Vinginevyo kama waajiriwa wa halmashauri majina yao yametoka kwa mwamvuli wa wizara ya fedha hapo watu waanze kuhesabu maumivu!
IKo hivi huyu jamaa yeye ni laboratory technologist, anasema aliomba arusha na orala alifanyia uko ila kapangwa Uvinza Dc kigoma, nikamuhoji how comes umeitwa kwa mwajiri wizara na upangiwe kituo cha afya au halmashauri ,na je mwajiri katika barua yako ni nani, alijibu mwajiri ni wizara sasa sijajua kama yeye ndo anachanganya mafile hajuhi kwa kureport au ni vipi, make kuna jamaa zangu wengine wote barua iko dedicated kwa katibu mkuu wa wizara ya afya na vituo wengi wamepangiwa RRH na zile kama mirembe,mwananyamala ila ni mikoa ambayo hawakuomba( roundamly)Ina maana jina lake lilitoka chini ya wizara ya afya halafu akapangwa kituo cha afya au? Maana vitiuo vya afya vyote viko chini ya halmashauri (LGA), na post zilizotoka ni chini ya wizara ya afya (MDA). Hebu mwulizie vizuri tupate mwanga hapo! Maana kuna watu kibao bado wanasubiria halmashauri (LGA) ziteme!! Vinginevyo kama waajiriwa wa halmashauri majina yao yametoka kwa mwamvuli wa wizara ya fedha hapo watu waanze kuhesabu maumivu!
Wanajibu tuendelee kufatilia majina yanatoka taratibuMwenye mawasiliano na admin wa webpage na social platforms za utumishi naomba amuulize kama leo pdf ni uhakika au tulale tusubiri kesho.