Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Inaonekana database wameisha au wapo wachache ambao hawawezi kutimiza idadi wanayotaka muhimbili so nadhani baada ya interview watakaopita watachukuliwa pamoja na wachache waliobaki database au kama hawapo wakachomoka kama walivopiga sahili
 
Ukiona scale ya Salary sio TGS, ruka na hizo nafasi fast.

Wenye sifa rukeni na nafasi za National Museum of Tanzania (NMT)
Hivi hizi post 1 huwa zina database kweli? au ni kama za ma assistant lectures and tutorial assistant ikienda imeenda..
 
Omba hiyo nafasi MNH
Dah majanga tena, yn h kazi ipo ndani ya kitu nilichosomea ila vigezo vya masomo vinanikataa 😭

Sasa hapo kwakuwa kazi naiweza, ntabadili kigezo cha somo ili niweze kuomba h nafasi afu nikishaomba narudisha iwe kama inavyoonekana kwenye cheti.

Kwenye cheti n diploma in film production ambayo Kazi zake ndo hy kwenye post, so ntabadili naweka diploma in journalism afu ni-apply then niirudishe kuwa diploma in film production.
 
Hack tu michongo mwaisa. Hii nchi ni ngumu usipojiongeza.
 
Inaonekana database wameisha au wapo wachache ambao hawawezi kutimiza idadi wanayotaka muhimbili so nadhani baada ya interview watakaopita watachukuliwa pamoja na wachache waliobaki database au kama hawapo wakachomoka kama walivopiga sahili
Mwelekeo Usail utafanyika mwakani kampeni hiyo...Cha msingi kuongeza receive
 
Inawezekana mkuu fanya hivo
 
Hack tu michongo mwaisa. Hii nchi ni ngumu usipojiongeza.
Yn sielewi kwann inakuwa hvy, yn kazi ipo ndani ya uwezo wako ila kwakuwa somo lako hawajaandika hapo bc inakukataa.
Kuna kazi moja nyingine ya TBC kama hy hy ya Muhimbili ya nayo ilinizngua kama h japokuwa vigezo nnavyo, Nika-hack system Nika-apply niko nasubiri kuitwa au kutokuitwa.
 
Hivi hizi post 1 huwa zina database kweli? au ni kama za ma assistant lectures and tutorial assistant ikienda imeenda..
Mkuu hata nafasi ikiwa moja usiache kuomba, kwenda kufanya Interview ukiitwa na hakikisha unapambana hadi Oral.

Ishu zingine kama database waachie wao, wewe pambana tu hadi siku ukiitwa kazini ndipo mapambano unayahamishia kwingine(kazini na hustle za kujikwamua)
 
Fanya hivyo then maamuzi uwaachie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…