Amen KiongoziKwema Ndugu Zangu Watanzania, nazidi kuwaombea kwa zile kada zilizosahaulika Mungu akafanye njia kwa ajili yenu.
Nilisema kwamba kuanzia tarehe 3 hadi 20 lazima kiumane. Kila lakheri kwenu WakuuTulio apply mwezi wa 8 wameanza kutuita interview huko.
Wa mwezi wa 8 wengine badooooTulio apply mwezi wa 8 wameanza kutuita interview huko.
Asante sana.Nilisema kwamba kuanzia tarehe 3 hadi 20 lazima kiumane. Kila lakheri kwenu Wakuu
Mtafikiwa tu.Wa mwezi wa 8 wengine badoooo
Kada gani mkuu hioTulio apply mwezi wa 8 wameanza kutuita interview huko.
Nadhani atakuwa kwenye lile pdf la MDA na LGA ambalo nafasi zake zilitanganzwa mwezi wa naneKada gani mkuu hio
Subiri Wanakuja Mkuu utapewa hadi logde ya bei chee kama ukihitajiIvi ofisi za Utumishi hapa dodoma zipo Sehemu gani... Nipeni location.
Hapana mkuu nimeona kk sio za MDA na LGANadhani atakuwa kwenye lile pdf la MDA na LGA ambalo nafasi zake zilitanganzwa mwezi wa nane
Hongera Mkuu uwe na maandalizi mema ili January 2025 ulambe asaliHapana mkuu nimeona kk sio za MDA na LGA
Hapana mkuu mimi simo kka badoHongera Mkuu uwe na maandalizi mema ili January 2025 ulambe asali
Chuo cha NIT (Assistant ICT Officer). Lakini naona na Assistant lecturers, Technicians, engineers e.t.c.Kada gani mkuu hio
Tangazo la hii kazi lilisomeka kama mtu wa graphics lakini roles ni za mtu wa networking. Which is which?Chuo cha NIT (Assistant ICT Officer). Lakini naona na Assistant lecturers, Technicians, engineers e.t.c.
Dah yaani mimi mwenyewe nashangaa.Tangazo la hii kazi lilisomeka kama mtu wa graphics lakini roles ni za mtu wa networking. Which is which?
Zipo Udom kule,Ivi ofisi za Utumishi hapa dodoma zipo Sehemu gani... Nipeni location.
Sawa sawa mkuu..Zipo Udom kule,