kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Bro Mungu akubariki sana una roho ya kipekee sanaOngezeni received mlio na sifa
Aisee huyo jamaa mwifwa ni mtu poa sana kwenye hili jukwaaaBro Mungu akubariki sana una roho ya kipekee sana
Trust me humu ndani umewatia moyo watu wengi sana sana nikiwa mmoja wao
sijapata kazi ila naamini ipo siku yangu nami nitaingia kulamba buyu la asali
sure anko hata written nilipita na hints za humu hasa kustick kwenye pointHongera sana mkuu, kila la kheri kwenye hatua hiyo mbeleni.
Hints nyingi tushazitoa humu, ukiweza kurudi nyuma kwenye uzi kuanzia September 2022 kuja mbele utaona hayo madini ya hints
mno hana baya ankoAisee huyo jamaa mwifwa ni mtu poa sana kwenye hili jukwaaa
AmenMpaka sasa nina received sita.
Mwaka 2024 umekuwa mwaka wa kuongeza received(Namshukuru Mungu kwa hilo),
Maana tokea mwaka 2023 mpaka 2024 mwezi wa saba sikuwahi kuwa na received hata moja.
Tunapoelekea mwaka 2025 tumuombe Mungu atujalie tulambe asali maana daili zote zinaonekana.
Mungu atusaidie na sisi mwakani tulambe asali.
Naamini mwakani ni wakati wetu wapambanaji kuonekana kwenye pdf.
Amen
dah sasa ningekua likizo
Saiv una likizo ya kudumu mkuudah sasa ningekua likizo
Kila lakheri jamaa yanguAsante sana ndugu yangu
Hongera sana Mkuu pia jitaidi kujiandaa vyema kuanzia kusoma na kiuchumi maana apo itahitajika nauli na za apa na pale ivyo jiandae MkuuMpaka sasa nina received sita.
Mwaka 2024 umekuwa mwaka wa kuongeza received(Namshukuru Mungu kwa hilo),
Maana tokea mwaka 2023 mpaka 2024 mwezi wa saba sikuwahi kuwa na received hata moja.
Tunapoelekea mwaka 2025 tumuombe Mungu atujalie tulambe asali maana daili zote zinaonekana.
Mungu atusaidie na sisi mwakani tulambe asali.
Naamini mwakani ni wakati wetu wapambanaji kuonekana kwenye pdf.
Amen
HakikaMpaka sasa nina received sita.

Kama hauna kitambulisho basi beba cheti chako cha form 4 mpaka 6wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Nenda na barua ya utambulishi ya serikali ya mtaa, na beba vyeti vyako vyote vya shule original na usisahau cha kuzaliwawakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Nenda na barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa au kitambulisho cha kura kama nacho.wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Ni kweli kaka lazima niandae silaha wakati amaniHongera sana Mkuu pia jitaidi kujiandaa vyema kuanzia kusoma na kiuchumi maana apo itahitajika nauli na za apa na pale ivyo jiandae Mkuu
Usikate tamaa hadi kieleweke.Bro Mungu akubariki sana una roho ya kipekee sana
Trust me humu ndani umewatia moyo watu wengi sana sana nikiwa mmoja wao
sijapata kazi ila naamini ipo siku yangu nami nitaingia kulamba buyu la asali
hakika ✅Usikate tamaa hadi kieleweke.
Mafanikio ni process, hivyo inahitajika uvumilivu na kupambana kwa kwenda mbele