Sheria mkuuMk
Mkuu umesomea kada gani mkuu
Mwezi wa kumi na mojaHongera sana boss, interview ulifanya mwaka Jana mwez wa ngap!?
Hongera sana mkuu,Ukawe mtumishi mwema mwenye kufuata taratibu,kanuni na misingi ya umma.Napita hapa kutoa shukrani kwa wote wanaoendelea na waliochochea kutupa watu moyo tuendelee kuongeza received humu. Nami Mwenyezi Mungu ameamua wakati wangu umefika. Nashukuru Mungu nimeitwa Dodoma kuchukua barua. Nilianza mchakato wa kupambania ajira tangu mwaka 2021, bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuhudhuria zote nlizoomba. Kuna kipindi nilikata tamaa maana mikando ilikuwa ya kutosha na ndio nikajiunga jf kuangalia wadau wanasemaje kuhusu swala la ajira. Hatimae nikakutana na huu uzi na comment za wadau kuhusu kuendelea kupambana.
Mwaka jana nimefanya interview moja nikafika nayo oral na japokuwa nilikosa post niliyoomba jana mkeka umetoka nikiwa nimepangiwa ofisi nyingine.
Nashukuru sana Mungu na watu wote ambao japo wamepata kazi bado wanarudi humu kuwapa wapambanaji wengine moyo.
ahsanteni
Ahsante mze.. na nakubali hakuna kuvimba.Hongera sana mkuu,Ukawe mtumishi mwema mwenye kufuata taratibu,kanuni na misingi ya umma.
Ukiwa katika ofisi za umma uache kuvimba makwapa na kawaona Jobless hamnazo.
Kila la kheri mkuu.
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi mkuuNapita hapa kutoa shukrani kwa wote wanaoendelea na waliochochea kutupa watu moyo tuendelee kuongeza received humu. Nami Mwenyezi Mungu ameamua wakati wangu umefika. Nashukuru Mungu nimeitwa Dodoma kuchukua barua. Nilianza mchakato wa kupambania ajira tangu mwaka 2021, bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuhudhuria zote nlizoomba. Kuna kipindi nilikata tamaa maana mikando ilikuwa ya kutosha na ndio nikajiunga jf kuangalia wadau wanasemaje kuhusu swala la ajira. Hatimae nikakutana na huu uzi na comment za wadau kuhusu kuendelea kupambana.
Mwaka jana nimefanya interview moja nikafika nayo oral na japokuwa nilikosa post niliyoomba jana mkeka umetoka nikiwa nimepangiwa ofisi nyingine.
Nashukuru sana Mungu na watu wote ambao japo wamepata kazi bado wanarudi humu kuwapa wapambanaji wengine moyo.
ahsanteni
"Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene leo amezungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, na kutangaza kuwa kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025, usaili wa kada za Ualimu utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (UTUMISHI); Ofisi ya Rais (TAMISEMI); Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia; Wizara ya Afya; Tume ya Utumishi wa Walimu; Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote na wataalamu mbalimbali kutoka katika Taasisi za Umma.Wakuu vipi mkutano wa waandishi wa habari umeendaje uko?
Asante Sana Mkuu"Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene leo amezungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, na kutangaza kuwa kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025, usaili wa kada za Ualimu utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (UTUMISHI); Ofisi ya Rais (TAMISEMI); Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia; Wizara ya Afya; Tume ya Utumishi wa Walimu; Ofisi za Wakuu wa Mikoa yote na wataalamu mbalimbali kutoka katika Taasisi za Umma.
Usaili huu una lengo la kujaza nafasi elfu kumi na nne mia sita na arobaini na nane (14,648) zilizotolewa na Mheshimiwa Rais kwa lengo la kupunguza uhaba wa walimu nchini. Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwasihi sana wale wote walioitwa kwenye usaili wajiandae vyema kwa usaili huo kwani nafasi hizi ni za ushindani.
"Vilevile, kulingana na mahitaji yetu ya elimu kwa sasa, tutaajiri wataalamu wa fani za Amali. Hivyo, nawasihi sana wale wote watakaopata nafasi ya kuajiriwa, wawe tayari kujiendeleza ili kuweza kukidhi matakwa ya ajira zao katika Utumishi wa Umma." alisema Waziri Simbachawene.
Mhe. Simbachawene amesema kuwa usaili huu wa kada za Ualimu utafanyika katika Mkoa ambao kila msailiwa anaishi. Lengo kuu la utaratibu huu ni kuwapunguzia gharama za kusafiri na mambo mengine. Sekretarieti ya Ajira ilitoa matangazo kumtaka kila msailiwa kuhuisha taarifa zake katika akaunti yake ya Ajira Portal sehemu iliyoandikwa βcurrent physical adressβ kwani ndipo tumewapangia vituo vya usaili kulingana na anuani walizojaza.
Aidha Mhe. Simbachawene amesema kuwa Usaili wa awali wa kuandika (Mchujo) kwa kada za Ualimu utafanyika kwa njia ya kuandika kwa mkono kwa kada zote na ngazi zote za elimu.
"Ninapenda kuwakumbusha wale wote watakaokwenda kwenye usaili wahakikishe wanabeba vyeti vyao Halisi kikiwemo Cheti cha Taaluma na Cheti cha kuzaliwa. alisema Mhe. Simbachawene
Vilevile, wasailiwa wanapaswa kuja na namba zao za usaili walizotumiwa kwenye akaunti zao za ajira portal pamoja na kuzingatia Ratiba kama ilivyopangwa na Sekretarieti ya Ajira.
Kwa wale ambao kwenye vyeti vyao vya kitaaluma wanatumia majina mawili wakati kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha NIDA kuna majina matatu (3), au wale ambao majina yanatofautiana katika vyeti, wanapaswa kuwa na hati za kiapo (Affidavit au Deed Poll) ili kuthibitisha majina yao na vyeti husika.
Wasailiwa wanapaswa kuwa na kitambulisho halisi kwa ajili ya utambuzi, Kitambulisho kinachotambuliwa ni pamoja na Kitambulisho cha Taifa (NIDA); Hati ya Kusafiria; Leseni ya Udereva; Kitambulisho cha Mpiga Kura; Kitambulisho cha Mkaazi; Kitambulisho cha Kazi; au Barua ya Utambulisho kutoka ofisi ya Serikali ya Mtaa unaoishi au Shehia.
"Ninapenda kusisitiza kwamba ni muhimu sana msailiwa kuhakikisha anakwenda katika kituo alichopangwa kwa ajili ya usaili na si vinginevyo kwani mahitaji yake yatakuwa katika kituo alichopangwa." Alisema Mhe. Simbachawene.
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 29 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 ambacho kinaelekeza kuwepo kwa chombo maalumu cha kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma. Pamoja na Sheria hii kutungwa Mwaka 2007, Sekretarieti ya Ajira ilianza utekelezaji wa majukumu yake rasmi tarehe 01 Machi, 2010 baada ya maandalizi muhimu kukamilika. Aidha, iliweza kuendesha usaili wa kwanza Mwezi Juni, 2010."
2023 au 24Mwezi wa kumi na moja
'242023 au 24
Sasa hivi wale tunao subiria interview inabid tusubirie mpaka mwezi march tu hakuna jins maana kwa usahili ule wa walimu bench lina tuhusu sana nadhan itakuwa tumefikisha miezi 11 sasa ya kusubiri ..πHumu ndani Kuna wanaosubiria interview, Kuna wanaosubiria placement alafu Kuna sisi tunaosubiria vyote daah Mungu aendelee kutupigania mana miezi 8 no interview, unajipa moyo uchungulie kwenye PDF zinazotoka unakuta Nako holaaa!!!!ππ
Dah! Sio poa mzeeSasa hivi wale tunao subiria interview inabid tusubirie mpaka mwezi march tu hakuna jins maana kwa usahili ule wa walimu bench lina tuhusu sana nadhan itakuwa tumefikisha miezi 11 sasa ya kusubiri ..π
Hakika mkuu hapa tusubiri tu wa 3 wakishamalizana na walimu labda ndo watatukumbukaSasa hivi wale tunao subiria interview inabid tusubirie mpaka mwezi march tu hakuna jins maana kwa usahili ule wa walimu bench lina tuhusu sana nadhan itakuwa tumefikisha miezi 11 sasa ya kusubiri ..π
Kwahio walio omba kazi hivi karibuni waji andae tu na wao kuitwa kwenye usahili mwezi wa saba maana kazi ipo inavyo onekana kule..πHakika mkuu hapa tusubiri tu wa 3 wakishamalizana na walimu labda ndo watatukumbuka
Yan kama ukiomba Leo inabidi usubiri mpaka mwezi wa naneKwahio walio omba kazi hivi karibuni waji andae tu na wao kuitwa kwenye usahili mwezi wa saba maana kazi ipo inavyo onekana kule..π
wengi watakua wameshadedi π€£ π€£Yan kama ukiomba Leo inabidi usubiri mpaka mwezi wa nane