Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii imekaaje wakuu yan unatangaza ajira za MDA&LGA unarudia tena ..mfano maafisa mifugo na madereva wametangaza tena wakati hata hawajamalizana na watu august. Sasa hapo si wangewajumlishia tu kwenye zile za mwezi wa nane.. au mimi ndio naona siko sawa .

Yan unatangaza vipi post ile ile wakati bado hata hujafanya usaili wa wale uliowatangaza mwanzo?

Au ni strategic za kutafuta sifa kuwa taasisi inatangaza nafasi nyingi kumbe wanarudia zilezile.
 
Mkuu lakini nazan hili waliliangalia vizuri unaweza ukataduta munual yao ukapata muongozo
 
Uchaguzi
 
Na ndio maana TRA wameamua wakomae wenyewe na mfumo wao..wangezipeleka Utumishi zile kazi zao wangeita interview mwaka 2026
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…