Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
Yaani miezi 8 unawaza interview? Kwani usitumie huo mda kuwaza mengine alafu wakitangaza ndo uirudishe akili yako?Ila utumishi wana fanya mzaha sana na maisha ya watu usahili miezi karibia nane watu wapo tu wana subiria kuitwa na wao tu..🤔
Ndio ukubwa kaka mtihan haujawai kuwa rahisi na ukiwa rahisi cutting point inakuwa juu zaid kama waalimu wa kiingerezaAccounts officer ii ilikua shughuli heavy.
Mkuu mfariji huenda kapambana kila kona matumain yamebaki kwenye vyeti tuYaani miezi 8 unawaza interview? Kwani usitumie huo mda kuwaza mengine alafu wakitangaza ndo uirudishe akili yako?
Aisee we una moyo saana miezi 8??
Haya GREAT THINKER bora umekuja, embu nionyeshe sehemu gani ya comment yangu hapo imesema kwamba ni mm ndio nimekaa huo muda wa miezi'8 bila usahili kama unavyo maanisha ww hapo then tuendelee na hiyo hoja yako mkuu..!? Maana ninacho kijua mm pale nili wasemea watu wanao pitia hiyo changamoto sasa naku shangaa na hicho' kiwango chako cha kufikiri mpaka ume shindwa kuelewa aina ya sentence ile ina maana gani ipo kwenye hali gani na bila shaka ww shule umekwenda pia.Yaani miezi 8 unawaza interview? Kwani usitumie huo mda kuwaza mengine alafu wakitangaza ndo uirudishe akili yako?
Aisee we una moyo saana miezi 8??
Nyie ndio wale mkiwa darasani ukisikia watu wamejibu ndioo na ww unaitikia tu ndioo hata kama hujaelewa topic husika ili mradi tu, haya msaidie mwenzako kujibu nilicho muuliza kwenye uelewa wake wa lugha kama mlivyo fundishwa huko mna potoka sasa.Mkuu mfariji huenda kapambana kila kona matumain yamebaki kwenye vyeti tu
Nikajua uliposema watu umejijumuisha nawewe! Ila mbona kama makasiriko mkuu,? Kama nimekukwaza niwie radhi tu, Wala sikusema Kwa ubayaHaya GREAT THINKER bora umekuja, embu nionyeshe sehemu gani ya comment yangu hapo imesema kwamba ni mm ndio nimekaa huo muda wa miezi'8 bila usahili kama unavyo maanisha ww hapo then tuendelee na hiyo hoja yako mkuu..!? Maana ninacho kijua mm pale nili wasemea watu wanao pitia hiyo changamoto sasa naku shangaa na hicho' kiwango chako cha kufikiri mpaka ume shindwa kuelewa aina ya sentence ile ina maana gani ipo kwenye hali gani na bila shaka ww shule umekwenda pia.
Kiongozi, punguza makasiriko basi.. mifano ya darasani yanini tena?Nyie ndio wale mkiwa darasani ukisikia watu wamejibu ndioo na ww unaitikia tu ndioo hata kama hujaelewa topic husika ili mradi tu, haya msaidie mwenzako kujibu nilicho muuliza kwenye uelewa wake wa lugha kama mlivyo fundishwa huko mna potoka sasa.
Kwa makasiriko hapana sina makasiriko ila niliweka hoja tu ya kuhoji ukweli wa maelezo yako kwa maana hayakuwa sahihi tu mkuu.Nikajua uliposema watu umejijumuisha nawewe! Ila mbona kama makasiriko mkuu,? Kama nimekukwaza niwie radhi tu, Wala sikusema Kwa ubaya
Tulia dawa ikuingie wewe unaleta mboyoyoNyie ndio wale mkiwa darasani ukisikia watu wamejibu ndioo na ww unaitikia tu ndioo hata kama hujaelewa topic husika ili mradi tu, haya msaidie mwenzako kujibu nilicho muuliza kwenye uelewa wake wa lugha kama mlivyo fundishwa huko mna potoka sasa.
Hapana hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa makasiriko ndomana siwezi kuwa na makasiriko mkuu, niliona tu hakuna ukweli ndomana nikaamua kuhoji basi.Kiongozi, punguza makasiriko basi.. mifano ya darasani yanini tena?
Labda wewe ndo hukueleweka
Basi nimekuelewa kiongozi huenda ni kweli sikuelewa ulichomaanisha.Kwa makasiriko hapana sina makasiriko ila niliweka hoja tu ya kuhoji ukweli wa maelezo yako kwa maana hayakuwa sahihi tu mkuu.
Kwakuwa mtoa hoja ameliweka sawa mm sina tena hoja nyingine mkuu niko na mtazamo positive sana kwake sio hivyo unavyo fikiri.Tulia dawa ikuingie wewe unaleta mboyoyo
Basi imekaa poa sana mkuuKwakuwa mtoa hoja ameliweka sawa mm sina tena hoja nyingine mkuu niko na mtazamo positive sana kwake sio hivyo unavyo fikiri.
hawatoagi awe anaangalia tu matokeo wanayotoa kwenye website yaoHivi wakuu matokeo ya oral huwa yanatoka kwenye akaunti ya mwombaji au inakuaje?
I mean kwa hawa walimu walifanikiwa kuingia oral matokeo yao ya oral watayaonea wapi?
Kuna dogo yupo bush alifika oral ya mojawapo ya somo ndo anaulizia matokeo.
Sawa mkuu....So kwenye website yao watayatoa waliofaulu oral siyo?hawatoagi awe anaangalia tu matokeo wanayotoa kwenye website yao
ndio. kila tangazo likitoka awe anachunguliaSawa mkuu....So kwenye website yao watayatoa waliofaulu oral siyo?
Niaje iv ukitaka kujua kama up database unajuajWaachie Pdf ya Database Watutoe mtaa kama wao walivyopeana Offer za watoto wao kupitia ajira za mkataba kwenda ajira za Kudumu....
Ndo tutawaelewa kuliko wanajaza mapichamapicha ya safari zao wanaacha Lengo la website yao haina tija kwetu watafutaji....
Quote
Huwez mkuu ila kama uliingia oral una uhakika ulijibu ipasavyo maswali 6 kati uliyo ulizwa basi upo database ila kama ulikosa kwa asilimia zote huna tofauti na alie fail writtenNiaje iv ukitaka kujua kama up database unajuaj
Maswali yalikuwa matano 5 ila kati ya ayo mawili xina uwakika Nay kabix Kam nimepatHuwez mkuu ila kama uliingia oral una uhakika ulijibu ipasavyo maswali 6 kati uliyo ulizwa basi upo database ila kama ulikosa kwa asilimia zote huna tofauti na alie fail written