Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 454
- 1,413
Hongera sana Mkuu, sasa endelea kujiaandaa vyema, kuomba kwa sana pia usisahau kuvunja kabati siku iyo maana apo ndipo kwenye ushindi wa mwishoNashukuru Mungu nilifanikiwa kufanya Written Interview kwa mara ya kwanza juzi Ijumaa pale UDSM (Human Resource Officer II), nimepata majibu leo na nimekuwa selected kwenda Oral Dodoma. Hakika Mungu ni Mkuu mno, tuendelee kumtumainia yeye bila kukata tamaa. Naamini atasimama na mimi katika Oral niweze kupata ajira Insha Allah.
asante sana MkuuHongera sana Mkuu, sasa endelea kujiaandaa vyema, kuomba kwa sana pia usisahau kuvunja kabati siku iyo maana apo ndipo kwenye ushindi wa mwisho
Mliulizwa maswali gani?Accounts officer ii ilikua shughuli heavy.
Unalo pepa hapo?Wamet
Is
Wameoa cost accounting,Isa 8,38, na zingine na mwasali ya foundation account,calculation zilikuwepo manufacturing account
Mara ya mwisho walichukua karibia mwezi mzima ndio wakatoa majibuHivi kwa T.RA ,, baada ya written huchukua siku ngapi kuita watu kwenda kufanya oral ??
Lengo langu niweze kuweka budget vizuri ,, maana my plan nikishafanya written nigeuke siku hiyo hiyo
Neema ya Mungu iwe pamoja nawe.Nashukuru Mungu nilifanikiwa kufanya Written Interview kwa mara ya kwanza juzi Ijumaa pale UDSM (Human Resource Officer II), nimepata majibu leo na nimekuwa selected kwenda Oral Dodoma. Hakika Mungu ni Mkuu mno, tuendelee kumtumainia yeye bila kukata tamaa. Naamini atasimama na mimi katika Oral niweze kupata ajira Insha Allah.
Aisee kumbe,,, mtu ukishipiga written ni bora ukarudi zako tu ,, nilifikiri wapo kama utumishi ambao huchukua siku mbili au tatu kuelekea oralMara ya mwisho walichukua karibia mwezi mzima ndio wakatoa majibu
AsanteKwa upande wa" deed poll" hapo ina tegemea na matakwa yako kwa maana wame weka options mbili yani kuna ya hapo kwa hapo kupata deed poll ila kuna malipo kadhaa ya juu kidogo inabidi ulipie bank ndio ufanyike mchakato huo na kuna njia nyingine ya kusubiria kwa siku mbili mpaka tatu nayo pia inalipiwa bank lakini kwa kiasi kidogo cha pesa pale Ardhi, na hii ni kwa sababu yenyewe inachukua muda wa siku kadhaa kutoka ndomana bei ipo chini.
Hii iko vzr haina tatizo jiandae na usailiAsante
Mwifwa mkuu, au kwa yeyote anaejua kama cheti cha kuzaliwa au deed poll ni majina matatu (Ngiri Mkia Juu) ila vyeti vya kitaaluma ni (Ngiri M Juu) inaweza leta shida utumishi au usaili wowote
Tafta affdavit inashida sana mkuu,utatolewa first day kabla hujaanza chochoteAsante
Mwifwa mkuu, au kwa yeyote anaejua kama cheti cha kuzaliwa au deed poll ni majina matatu (Ngiri Mkia Juu) ila vyeti vya kitaaluma ni (Ngiri M Juu) inaweza leta shida utumishi au usaili wowote
Guys wale wa RISK OFFICER II, Group hili hapa mje tupeane madini.Habari! Mwenye abc za nafasi ya Customers Officer TRA naomba anisaidie jamani kwenye written au kama kuna group ambayo kunafanyika discussion.
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoInakuaje wadau wa database
Kila la heri mkuuNdugu yenu nimebahatika kuitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral), kwa sasa nipo Da'slaam baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Naombeni dua zenu.
Tofauti, ila ya oral naona km huwaga ni maswali common kwenye fani husika.Hivi maswali yanayoulizwa kwenye written ndiyo hayohayo pia unaulizwa kwenye oral au kunakuwa na tofauti wakuu?
Hapo hakuna tatizo, Cha msingi awe na Kitambulisho tu chenye kufanana na hayo majina, awe na amani akapambanie kombe Kwa TRA.Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Hongera sana ni eGA?Ndugu zanguni nimeshamaliza oral interview. Nimeambiwa baada ya wiki tatu wataweka majibu kwenye website yao. Nahitaji maombi yenu ili nilete ushuhuda. Asanteni
Ndugu zanguni nimeshamaliza oral interview. Nimeambiwa baada ya wiki tatu wataweka majibu kwenye website yao. Nahitaji maombi yenu ili nilete ushuhuda. Asanteni