Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 454
- 1,413
Ingekuwa ajiraportal saivi tungekuwa tunaangalia selected na not selected lakini kwa upande wa TRA inaweza chukua hata wiki tatu kujua matokeo ivyo tusubirie tuu MkuuWajomba wa TRA Pepa ilikuwaje huko siku ya Leo? Au ndio mikando inaendelea kama ya Utumishi?
Vipi format ya maswali ikoje? Ni mwendo wa kubeti (Multiple choice)au kulikuwa na mengineyo? Na kama yalikuwepo yalikuwa ni ya muundo gani?Ingekuwa ajiraportal saivi tungekuwa tunaangalia selected na not selected lakini kwa upande wa TRA inaweza chukua hata wiki tatu kujua matokeo ivyo tusubirie tuu Mkuu
Sawa subira ni muhimu katika utafutaji.Ingekuwa ajiraportal saivi tungekuwa tunaangalia selected na not selected lakini kwa upande wa TRA inaweza chukua hata wiki tatu kujua matokeo ivyo tusubirie tuu Mkuu
Hapo wameandika majina hayafanani la kwenye cheti ni KAINI alafu kwenye Nida ni KAIN kwahiyo wanahisi ni majina mawili tofautiNisaidien hapa kwenye Kaz za polisi
hapo ni kumwomba mungu atende miujiza tu 🤣 🤣Niseme tu kwamba, paper za leo asubuhi ni kukamilisha ratiba tu kwa hao TRA, usimamizi F, darasa la watu 2,000 wanasimamia watu watatu, mnabananishwa kama darasa la kwanza😂
MULTIPLE CHOICEVipi format ya maswali ikoje? Ni mwendo wa kubeti (Multiple choice)au kulikuwa na mengineyo? Na kama yalikuwepo yalikuwa ni ya muundo gani?
Kiukweli hata mimi nimeshindwa kuelewa si bora hata wangewaachia utumishi waendelee kuwasaidia,...usimamizi mmbovu kwa upande kama wa sabasaba watu walikuwa wanafanya discussion ya paper,meza za kufanyia mtihani zimekaa round table kama za hotelini na wengine waliingia na simu wakapiga picha kutuma paper nje wakasaidiwe, it's too sad kwa tuliopoteza muda kusomaNiseme tu kwamba, paper za leo asubuhi ni kukamilisha ratiba tu kwa hao TRA, usimamizi F, darasa la watu 2,000 wanasimamia watu watatu, mnabananishwa kama darasa la kwanza😂
inauma sana hiyo yani umesoma usiku kucha halafu unamuona mshenz mmoja anagoogleKiukweli hata mimi nimeshindwa kuelewa si bora hata wangewaachia utumishi waendelee kuwasaidia,...usimamizi mmbovu kwa upande kama wa sabasaba watu walikuwa wanafanya discussion ya paper,meza za kufanyia mtihani zimekaa round table kama za hotelini na wengine waliingia na simu wakapiga picha kutuma paper nje wakasaidiwe, it's too sad kwa tuliopoteza muda kusoma
Acha tuu ndugu yangu, ngoja tuone what will come nextinauma sana hiyo yani umesoma usiku kucha halafu unamuona mshenz mmoja anagoogle
alafu unaweza kushangaa we unafaulu wao wanafeli dunia ina mamboAcha tuu ndugu yangu, ngoja tuone what will come next
Kivipi tena shehe wetu 😳?Lkn zile paper za TRA zilikuwa tofauti tofauti mjue.
Maswali yalichanganywa la kwako la nne laweza kua la mwenzio la 8Kivipi tena shehe wetu 😳?
Sidhani kama kuna uhalisia juu ya hilo kama watu wa custom kuna swali kilikosewa la kumi na saba na ikatangazwa kuwa swali namba hiyo linatakiwa liwe hivi, which means lilikuwa ni la kumi na saba kwa woteMaswali yalichanganywa la kwako la nne laweza kua la mwenzio la 8
Trh 2 mwezi wa nne zangu zinafikisha miezi nanekuna received zinataka kufikisha mwaka isijekua ndo Thank you..🤣