HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sanaa aisee.
Mara ya kwanza nilijua ni First In First Out kumbe sivyo!.

Kuna received zinaenda kufikisha week 36 kama umri wa mimba ya kujifungua!.
Mi nadhani wanaita kwenye interviews kulingana na mahitaji ya Waajiri kwa wakati huo, Waajiri wanaohitaji watu kwa haraka ndio wanawapa kipaumbele.
 
Mi nadhani wanaita kwenye interviews kulingana na mahitaji ya Waajiri kwa wakati huo, Waajiri wanaohitaji watu kwa haraka ndio wanawapa kipaumbele.
Huu ndo ukweli, ukisoma mkataba kwa mteja wa PSRS mchakato wa ajira unaweza kuendeshwa ndani ya mwezi moja ukakamilika. Shida huwa kwa waajiri, vibali vya ajira, bajeti ya kuendesha usaili n.k vitu vyote hivi huwa upande wa mwajiri.

Naona wengi wanawalaumu PSRS, lakini hao hao kuna michakato huwa wanaendesha faster sana.
 
Heading ya huu uzi inanikumbusha kuacha kubweteka na kusubiri kama nitaitwa kazini na utumishi baada ya kufanya usaili. Nimetimuka Dar, nipo zangu huku Chunya, kuna biashara za ulanguzi nilipata habari zinalipa.
 
Leo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.
 
duh kumbe kuna interview zinaendelea chini ya kapet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…