Ilikuwaje mkuu?Leo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.
Nitarudi hapa kukupa mrejesho Mwaisa. Ndio nipo nafanya uchunguzi kuhusu hizo fursa. Mtafutaji hachoki, akichoka amepata Mwaisaππ
Share hizo fursq mwaisa
Na mtaji unaohitajika vijana wajirushe
Nakuombea upate mpambanaji mwenzangu.Leo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.
Maswali sio mageni, ila unajuwa tena ukiwa mbele ya Panel sio poa, point huwaga zinahamaIlikuwaje mkuu?
Kidogo kidogo itakwenda mpaka kufikia Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kutoa Matangazo ya kaziThread ime mutate kwenda kwenye Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu INTERVIEW.π
Usisahau kuomba buyu like upande wako mkuu.all the. Best.Maswali sio mageni, ila unajuwa tena ukiwa mbele ya Panel sio poa, point huwaga zinahama
Ameen, ubarikiwe sana Comrade.Nakuombea upate mpambanaji mwenzangu.
Ubarikiwe sanaUsisahau kuomba buyu like upande wako mkuu.all the. Best.
Maswali yalikuaje?Leo imepigwa Oral interview ya Accounts Officer II pale Dodoma Sekondari, aisee nawatakia Kila la kheri wote tulioshiriki interview Ile mambo yawe mazuri watu tukalambe asali, haijalishi ni SM, SU, ama STK kokote Kambi wazee muhimu Check number kwanza.
1. Tell us about yourselfMaswali yalikuaje?
Wameitwa kazini nini?Wale wadau wa kilimo walio omba nafasi za MDAs and LGAs angalieni kwenye account zenu mambo niπ₯
Ni saili MkuuWameitwa kazini nini?
Kwa nini mkuu14/5 vichwa vinawaka moto
UsailiKwa nini mkuu
Ah ah Mkuu14/5 vichwa vinawaka moto
πππππ kaka bora wameita tu ili kama ni kukandwa tukandwe tu tujue moja.Ah ah Mkuu
Yani watu walikuwa wanalalama kila siku kwamba received inaelekea miezi tisa kama mimba vile tena wengine wakasema kwamba tayari wamepachika watu wao, Leo hii majina ya interview yametoka watu vichwa vinawaka moto