Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Imebidi niangalie status yake ajira portal inaonesha "received", kama wameita si inabidi isome shortlisted au?WHii walishaita tayari, baadae wakaitwa Accuntant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Marekebisho kidogo, post yake ni "Accounts assistant I" sio "II". Ni diplomaHii walishaita tayari, baadae wakaitwa, a Accountant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Kama kitu huna uhakika nacho ni Bora usijibu.Hii walishaita tayari, baadae wakaitwa Accountant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Hapo inategemeana kaka .. kuna watu nimeshuhudia ikichukua wiki, pia wengine mwezi pia wengine miaka .. hapo inategemeana na uhitajiHivi kutoka written interview mpk oral na kutoka oral mpk kujua kama umetoboa inachukua muda gani wakuu?
Hao sio Wahasibu, anayepaswa kuitwa Mhasibu ni CPA ( T ) holder Kwa mujibu wa Bodi ya Uhasibu NBAA. Hawa Diploma & Certificate wanaitwa wasaidizi wa Hesabu, Wale wa Advanced Diploma/Degree wanaitwa Afisa Hesabu.Kama kitu huna uhakika nacho ni Bora usijibu.
Wahasibu Diploma & Certificate bado hawajaitwa kwa interview.
Haina uhusiano. Hata kama leo ukipangiwa kituo cha kazi, kama unazo received kwenye account yako bado utakuwa shortlisted kwa ajili ya usaili.je ukifanya interview ya oral kama siku 12 nyuma then ukaitwa kwenye usaili mwingine hii inamaanisha oral umeliwa kichwa??
Mkuu mbona kwenye eneo la kufanyia usahili kada za TAA' wame onesha mikoa tu mfano Dar es salaam, Zanzibar , Arusha nakadhalika hawakusema venue maalum kwa dsm ni wapi watu wanafanya..?Kumeanza kuchangamka utumishiπ₯π₯
Wale wa TAA Interview imefikaa
Electrical Engineers nawasalim π
watakupangia usiwe na paparaMkuu mbona kwenye eneo la kufanyia usahili kada za TAA' wame onesha mikoa tu mfano Dar es salaam, Zanzibar , Arusha nakadhalika hawakusema venue maalum kwa dsm ni wapi watu wanafanya..?
Namba wamesha toa mkuu lakini.watakupangia usiwe na papara
Ni sawa Mkuu ndio maana umeambiwa subiria kwa sababu ndani ya Mkoa Kuna vituo zaidi ya kimoja ivyo mtapangwa kutokana na idadi ya watu na kada husika ivyo unaweza kujua kituo chako week moja kabla ya saili kitu Cha muhimu Wewe endelea kujiandaa tuu mengine waachie utumishiNamba wamesha toa mkuu lakini.
TAA nafasi gani wametia?Hizi za TAA hamna magroup kushare sample questions na material kama ilivyokuwa kwa TRA. Msaada please
Owkey mkuu shukrani kwa ufafanuzi..πNi sawa Mkuu ndio maana umeambiwa subiria kwa sababu ndani ya Mkoa Kuna vituo zaidi ya kimoja ivyo mtapangwa kutokana na idadi ya watu na kada husika ivyo unaweza kujua kituo chako week moja kabla ya saili kitu Cha muhimu Wewe endelea kujiandaa tuu mengine waachie utumishi
Huwa inatokea Mkuu mfano zile za Uwalimu asa ufundi. Kilimo na mifugo walikuwa wanataka bacherol lakini wengi walikuwa not shortlisted kwa kigezo Cha kukosa diploma ya fani husikaWakuu kuna hii kitu nimeshindwa kuelewa.
Hii kazi ilihitaji mtu wa diploma na niliomba na ikaandikwa received, juzi kati naingia nakutana nayo ety sina degree husika π
View attachment 3297109