Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Kuna makosa unaweza wacheki wakakupa ufafanuzi may beWakuu kuna hii kitu nimeshindwa kuelewa.
Hii kazi ilihitaji mtu wa diploma na niliomba na ikaandikwa received, juzi kati naingia nakutana nayo ety sina degree husika 😂
View attachment 3297109
Ah kwanza hy kazi ynyw nili-force kuiomba mana haikuwa kwenye qualifications zangu moja kwa moja japokuwa zinaendana na qualifications zangu.Kuna makosa unaweza wacheki wakakupa ufafanuzi may be
hivi sehemu ya kufanyia writen wanaposema vituo vya kufanyia usahili dodoma,mbeya,arusha na zanzibar ndo vituo gani hivyo au watavitangaza baadaeWakuu, wale wenzangu wa Telecom & IT bila kuwasahau wataalamu wa umeme, tayari mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA) wameita watu kwenye usaili. Tuanze kula shule. Wakati ni ukuta
anza kupiga sasa😀Kumeanza kuchangamka utumishi🔥🔥
Wale wa TAA Interview imefikaa
Electrical Engineers nawasalim 😇
Ndio watatangaza baadae lakini kumbuka utapangiwa kutokana na address yako uliyo weka kwa sasa kama ni Moshi maana yake utafanyia Arushahivi sehemu ya kufanyia writen wanaposema vituo vya kufanyia usahili dodoma,mbeya,arusha na zanzibar ndo vituo gani hivyo au watavitangaza baadae
sasa tunajuaje kama written ni online au makaratasiNdio watatangaza baadae lakini kumbuka utapangiwa kutokana na address yako uliyo weka kwa sasa kama ni Moshi maana yake utafanyia Arusha
Utajua kwa kuangalia tangazo husika la Sahili kama wamesema mtiani wa mchujo utakuwa ni kwanjia ya mtandao basi ujue ni online lakini wakikuambia kwamba ni mtiani wa mchujo kisha wakasema kwamba nakili namba yako ya Usahili ujue apo ni kwenye karatasi (angalia tangazo namba kumi na mbili apo chini)sasa tunajuaje kama written ni online au makaratasi
Nitumie desa Engineer nisome asee😂anza kupiga sasa😀
yaani mie kichwani mweupe sjui ntajibu nini bora ingekua ya online🤣🤣Nitumie desa Engineer nisome asee😂
Asee na temesa kumetema hukoo🥲😂yaani mie kichwani mweupe sjui ntajibu nini bora ingekua ya online🤣🤣
yaah nimeona halafu siku ya practical temesa ni siku ya oral TAAAsee na temesa kumetema hukoo🥲😂
Nmeona hiyooo aseee,patamu hapooyaah nimeona halafu siku ya practical temesa ni siku ya oral TAA
Unaiandika kwa mguuNina swali wakuu ivi barua ya kuomba kazi unaiandika kwa mkono then unaipiga picha au?
Unaandika kwa kutumia computer/ Laptop ambayo inakuwa mfumo wa Doc kisha unaibadilisha kwenda kwenye PDF, unaweza tumia lugha ya kiswahili au kingelezaNina swali wakuu ivi barua ya kuomba kazi unaiandika kwa mkono then unaipiga picha au?
Sasa kwenye kuiSIGN inakuaje hapo?Unaandika kwa kutumia computer/ Laptop ambayo inakuwa mfumo wa Doc kisha unaibadilisha kwenda kwenye PDF, unaweza tumia lugha ya kiswahili au kingeleza
Acha masihara mkuu, upo serious kweli?Sasa kwenye kuiSIGN inakuaje hapo?
Sijawahi fanya ivo thats why nauliza mkuu, kuuliza sio ujinga...Acha masihara mkuu, upo serious kweli?
Ukishamaliza kuichapa pale utaprint kisha utasaini. Baada ya hapo utaiscan. Na kuiweka kwenye mfumo wa PDFSasa kwenye kuiSIGN inakuaje hapo?