Kama umeambiwa handwritten, basi andika kwa mkono vizuri bila kukosea na usign then uscan utume. Kama umeambiwa barua tu itype kwny computer acha space ya kusign utasign kwa mkono baada ya kuprint utascan kwny PDF na kutumaSasa kwenye kuiSIGN inakuaje hapo?
Ukishamaliza kuichapa pale utaprint kisha utasaini. Baada ya hapo utaiscan. Na kuiweka kwenye mfumo wa PDF
Sasa kwenye kuiSIGN inakuaje hapo?
Unaandika kwa kutumia computer/ Laptop ambayo inakuwa mfumo wa Doc kisha unaibadilisha kwenda kwenye PDF, unaweza tumia lugha ya kiswahili au kingeleza
Nimekupata sana mkuu, nilikua nahitaji maelezo haya👊👊Hakuna haja ya kwenda stationary wala kuwa na computer/PC, application zote unaweza kumaliza kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Download app ya Microsoft word, Hii utaandika barua ya kila aina, ile ya kwenye computer ndo hii hii kwenye simu yako.
Download app ya Adobe acrobat, Hii itakusaidia kusoma documents zako.
App za kusoma documents zipo nyingi sana ila binafsi naipenda hii.
Download app ya Doc Sign, hii utakuwezesha kusign document zako.
Hapa napendekeza uandike sign yako kwenye karatasi nyeupe then ondoa background ili ibaki sign pekee yake halafu hiyo sign ndo utai-paste kwenye hiyo barua.
Download app ya background erase, Hii itakusaidia kuondoa background ya picha ya karatasi uliyotumia kuweka sign yako.
Muhimu:
Kila kitu hapo unakifanya ukiwa na data zako hata la jero tuu, MBs zingine utatumia kuangalia Xvideos na ukapiga nyeto ili kujipongeza kwa kumaliza kufanya application.
Muhimu:
Kila kitu cha kufanya kwenye ajira Portal unaweza kumaliza kwa kutumia simu yako na bando la buku huku ukiwa unakuna mambupu, kuanzia ku-scan certificates zako mpaka application kuwa received.
Ujambazi:
Hii niliwahi kuandika kwenye uzi wa waalimu kuomba ajira kwenye Ajira Portal baada ya wao kuwa na roho mbaya dhidi ya wanasheria ila nilishauriwa niifute na nikafanya hivyo.
Ila ngoja hapa niandike kwa ufupi 😎 kwa wale wenye kisirani na kulalamika kuwa kupeleka buku tano tano kwa wanasheria ili wapigiwe mihuri kwenye documents zao sio sawa, bc mnaweza kutumia hiyo app ya background erase na ku-copy mihuri hiyo kutoka kwenye documents za wenzenu na ku-paste kwenye documents zenu ambazo hazina mihuri na mambo yakawa safi.
Muhimu:
Ngoja niwasimange wapambanaji wenzangu, jaribuni kujiongeza wakuu, sio unajua kuingia Instagram na Facebook tuu afu mambo ya msingi hamjui 😎 hii kitu sijafundishwa na mtu ila kwa akili za kawaida tuu unaweza kufanya hili, na huu ugumu wa maisha unaona kwenda stationary kutoa zaidi ya 5000 ili ukamilishe application wakati kwa kutumia simu yako na bando la buku tuu unamaliza kila kitu unaona sio kweli 😂
Muwe na siku njema wapambanaji wenzangu.
© Mbaga Jr
Mmmh hii ngumu kumezaAnyway, wakuu naomba kuuliza.
Kuna demu nilimsaidia kufanya application zile za waalimu mana yeye yupo kijijini hvy hana access ya kupata intanet muda wote.
Sasa yeye hakuweza kufaulu kwenda oral, yani alifeli kwenye written, ila amekuwa akinisumbua kuwa watu wanapangwa kazini hata kama walifeli written. Mm nimekuwa nikimwambia hilo haliwezekani ila analazimisha mara aniambie ameota amepangiwa eneo la kazi 😂 yani vurugu tuu
Je hili ni la kweli?
Hiki ni kituko, wanajazana ujinga huko afu ananisumbuaMmmh hii ngumu kumeza
Sio Kila homa ni maralia 😂Anyway, wakuu naomba kuuliza.
Kuna demu nilimsaidia kufanya application zile za waalimu mana yeye yupo kijijini hvy hana access ya kupata intanet muda wote.
Sasa yeye hakuweza kufaulu kwenda oral, yani alifeli kwenye written, ila amekuwa akinisumbua kuwa watu wanapangwa kazini hata kama walifeli written. Mm nimekuwa nikimwambia hilo haliwezekani ila analazimisha mara aniambie ameota amepangiwa eneo la kazi 😂 yani vurugu tuu
Je hili ni la kweli?
Hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwishoWakuu zile ajira za walimu zimeshaisha? Kuna madogo walifaulu oral mpk sasa hawajui hatma yao.
Wamejuaje wamefaulu oral?Wakuu zile ajira za walimu zimeshaisha? Kuna madogo walifaulu oral mpk sasa hawajui hatma yao.
Sema walifika hadi hatua ya Oral nasio walifaulu lakini kama wanaimani walifanya vizuri waendelee kusubiria uwenda mjina Yao yakatokaWakuu zile ajira za walimu zimeshaisha? Kuna madogo walifaulu oral mpk sasa hawajui hatma yao.
Ile uliyofanya oral majibu bado mkuu?PSRS wapo kimya wanatuchora tu jobless. Dah! . Ila napongeza kwa spidi yao ya kutuita kwenye saili, nimeitwa saili mbili hapa najiandaa.
Wengine mara ya mwisho tumeenda saili za PSRS ni last yearPSRS wapo kimya wanatuchora tu jobless. Dah! . Ila napongeza kwa spidi yao ya kutuita kwenye saili, nimeitwa saili mbili hapa najiandaa.
Bado mkuu. Walisema baada ya wiki 3Ile uliyofanya oral majibu bado mkuu?
Jiandae kabisa mwamba pitia Kila kitu, komaa mzee baba.PSRS wapo kimya wanatuchora tu jobless. Dah! . Ila napongeza kwa spidi yao ya kutuita kwenye saili, nimeitwa saili mbili hapa najiandaa.
Nipo hapa napambana kujiandaa vya kutosha. Asante kwa ushauri mwambaJiandae kabisa mwamba pitia Kila kitu, komaa mzee baba.
Pamoja sana 🙏🤝Nipo hapa napambana kujiandaa vya kutosha. Asante kwa ushauri mwamba
customer service officer IITAA nafasi gani wametia?