3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,589
- 16,336
Sahihi kabisa mkuu.Ila utumishi wangeweka kipengele cha kutoa majibu pia baada ya usaili wa oral ili mtu ajue kafaulu au laa halafu ndiyo ifuatie hiyo ya kuitwa kazini, kuliko huu utaratibu wa kumaliza oral unabaki blind kila siku usubirie kuangalia mikeka inayoachiwa ambayo nayo haina muda maalum kuwa lini inatoka hii inamfanya msailiwa kubaki na mawazo kila siku
Hivi baada ya kupita written vizur zile maks ndio zina ishia pale pale written kwamba ukienda oral kule wanaanza upya usahili au zinakuwa combined mark's za oral na written ili kupata kazi mkuu..?Hayaa wale wa TRA matokeo yashatoka hukoo,mkachek sasa
Mkuu mbona muda ulikuwa ni dakika 60 au uko kwenu ilikuwaje?Maswali 50 swali moja Lina mistari mitatu adi minne ufanye kwa dakika 20?
Yapo angalia vizuri MkuuWakuu mbna matokea ya custom hayapo? Au mm ndio sijui kutazama
Hapana zile alama zinachukuliwa kisha ukifanya oral wanazichukua pia ivyo wanatafuta wastaniHivi baada ya kupita written vizur zile maks ndio zina ishia pale pale written kwamba ukienda oral kule wanaanza upya usahili au zinakuwa combined mark's za oral na written ili kupata kazi mkuu..?
Hata yule aliengoza na 100 anaweza kufeli oral. Maksi za written zimeishia hapo hapo kwenye selection.Hivi baada ya kupita written vizur zile maks ndio zina ishia pale pale written kwamba ukienda oral kule wanaanza upya usahili au zinakuwa combined mark's za oral na written ili kupata kazi mkuu..?
Sijui hao TRA wana utaratibu gani lakin kuhusiana na Utumishi Hakuna mambo ya kutafuta wastani hukoo,oral inajitegemea kabisaa,Hapana zile alama zinachukuliwa kisha ukifanya oral wanazichukua pia ivyo wanatafuta wastani
Ndio maana ukifanya vizuri kwenye written unakuwa na uwakika wa kupata kazi endapo oral ukafanya vizuri pia
Mwisho kabisa kila hatua inahitaji maandalizi na maombi ya kutosha maana maswali Huwa ni tofauti ivyo baada ya kupita written usiache kujiandaa tena ikiwezekana uongeze kipimo Cha maandalizi maana oral ni face to face ivyo kama ujui ni ujui tuu pia jitaidi kuongea pindi unavyo Fanya maandalizi kwa ajili ya oral maana itakusaidia kwenye kujiamini kwa kiasi chake
Nilikuwa namuuliza uyo hapo juu kaka alisema multiple choice ata dakika 20 unaweza fanya ndio nikawa namuuliza Kama anaweza kufanya maswali 50 Kwa dakika izo 20 maana walitoa lisaa but watu bado wanasema mda ulikuwa mchacheMkuu mbona muda ulikuwa ni dakika 60 au uko kwenu ilikuwaje?
Upo sahihi kabisa Mkuu ndio maana nimesema kila hatua inahitaji maandalizi zaidi lakini naamini kama ukifanya vizuri written unakuwa na confidence kwenye oralSijui hao TRA wana utaratibu gani lakin kuhusiana na Utumishi Hakuna mambo ya kutafuta wastani hukoo,oral inajitegemea kabisaa,
Ni kweli, ila Cha msingi ni kuendelea kujiandaa zaidi na kufanya maombi.Upo sahihi kabisa Mkuu ndio maana nimesema kila hatua inahitaji maandalizi zaidi lakini naamini kama ukifanya vizuri written unakuwa na confidence kwenye oral
Then, matokeo unayapata wapi baada ya kuingia kwenye akaunti ?Wameshaanza toa majibu ya interview ya tarehe 23 nafasi za kazi za TAA. Ingieni kwenye account zenu muone.
Kwenye website yao,but bado hawaja releaseThen, matokeo unayapata wapi baada ya kuingia kwenye akaunti ?
Naona nimepita kote TAA na TRA ngoja niangalie tarehe zimekaa vp kuhudhuria oral sasa..πKwenye website yao,but bado hawaja release
Una Upepo uko vzr.Naona nimepita kote TAA na TRA ngoja niangalie tarehe zimekaa vp kuhudhuria oral sasa..π
Maswali uliyaona lakin mkuu ??full scenario uchekeche kichwa kujua jibu sahihi ni lipi maswal 50 na bado dk waliminyaMaswal ya multiple choice hayana muda maalumu hata dkk 20 inatosha kbsa
Huwezi amini mkuu miujiza ya munguUna Upepo uko vzr.
Kwakweli mungu tumshukuru siku zote kwa barakha zake..πUna Upepo uko vzr.
TAA kada gani upo mkuuHuwezi amini mkuu miujiza ya mungu
Kwakweli mungu tumshukuru siku zote kwa barakha zake..π
Kwenye "My Application" pale utaonaThen, matokeo unayapata wapi baada ya kuingia kwenye akaunti ?