Congratulations man,everybody here is happy for your victory.Ulikua mpambanaji sana pia ulikua msaada kwa wale ambao kuna baadhi ya vitu tulikua hatuelewi kuhusu utumishi,I was praying for youHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Hongera kaka umepiga oral ngp mpaka umetoboaHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Oral moja tu mkuu.Hongera kaka umepiga oral ngp mpaka umetoboa
Asante sana mkuu. Giving up is not an option.Congratulations man,everybody here is happy for your victory.Ulikua mpambanaji sana pia ulikua msaada kwa wale ambao kuna baadhi ya vitu tulikua hatuelewi kuhusu utumishi,I was praying for you
Una bahati sana mkuuOral moja tu mkuu.
hongera kaka tumepoteza kiungo muhimu saanaa 🤣 🤣Habari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Hongera sana mkuu, nikikumbuka ulivyokuwa umewakatia tamaaHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Una bahati sana mkuu
hongera kaka tumepoteza kiungo muhimu saanaa 🤣 🤣
Asante sana wakuu. Niliahidi kuleta mrejesho hapa. Mungu ni mwema, tutaendelea kutiana moyo mpaka kila mmoja alambe asali.Hongera sana mkuu, nikikumbuka ulivyokuwa umewakatia tamaa
Siku zinavyoenda utupe tips za kutoboa pia mkuuAsante sana wakuu. Niliahidi kuleta mrejesho hapa. Mungu ni mwema, tutaendelea kutiana moyo mpaka kila mmoja alambe asali.
Hongera sana mwana TEHAMAAsante sana wakuu. Niliahidi kuleta mrejesho hapa. Mungu ni mwema, tutaendelea kutiana moyo mpaka kila mmoja alambe asali.
Hongera...karibu kundini mkuuHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Mzee haya yote uliyosema yanasaidia ila hayakupi uhakika wa kupita kwenye interview.Mkuu nipo jamii forum Toka 2015 nafatilia huu Uzi MUDA sana Nina experience ya kujua mambo madogo madogo kutoka kwa mabraza humu pia nimejiandaa MUDA mrefu sana toka nipo chuo mwaka wa pili Nina maswali kada yangu zaidi ya 3000 aptitude test yapo kichwani, learning theories, communication theories, curriculum DVT, assessment and evaluation, classroom management, teaching methodology na research YOTE ipo kichwani, pia Nina sample 50 za oral questions katka ualimu YOTE yapo kichwani na vlevle unadanganyi chochte kuhusu masomo ya biology na geography hasa kuanzia form 1 Hadi 4 nimejitolea kufundisha Toka mwaka wa pili, HAO UTUMISH NA WAJE
Kaka nilikwambia hakuna kurudi boder .. Hongera sanaHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
Hizi ni ngonjera aliejiandaa kajiandaa na anaejua anajua tu ACHA kukatisha watu tamaa hao utumishi ni watu tu na mitihani watu wameanza fanya Toka Darasa la 1 nasku zote aliejiandaa ndo anaengoza sio mwenye bahati hzo kanun zako hazna uhalisia muache dogo na spirit yakeMzee haya yote uliyosema yanasaidia ila hayakupi uhakika wa kupita kwenye interview.
Ni Bora ungesema kuwa umewahi kuingia kwenye interview zaidi ya 10 kidog ingekupa mwanga wakufanya vizuri zinazofuata.
Kuna majibu ya namna tatu tu kwenye interview:- Yale uliyoajiandaa nayo, uliyoyajibu na Yale uliyotakiwa kuyajibu.
Kwahiyo sio Kila majibu uliyojiandaa nayo ndo utakayoyajibu.
Kikubwa omba mungu akupe wepesi wakujiandaa na majibu utakayojibu kwenye maswali utakayoulizwa.
Lakini pia wakat mwingine inategemea na namna ulivyojibu, yaan inaweza ikawa swali uliloulizwa jibu lake ni Hilo ulilojibu ila je ni namna gani umejibu!?
Kuna mambo mengi saana kiongozi kwenye interview sio tu kile unachojiandaa nacho, omba mungu akupe Kila kitu kinachohitajika pale siku hiyo.
Ni kweli kaka. Ulinitia sana moyo. Nashukuru kwa hiloKaka nilikwambia hakuna kurudi boder .. Hongera sana
Hongera sanaHabari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
mi nakusubiri wewe mwenye maswali 3000, uliyeanza kujiandaa tangia mwaka wako wa pili.. mwenye maswali ya oral zaid ya 50.Hizi ni ngonjera aliejiandaa kajiandaa na anaejua anajua tu ACHA kukatisha watu tamaa hao utumishi ni watu tu na mitihani watu wameanza fanya Toka Darasa la 1 nasku zote aliejiandaa ndo anaengoza sio mwenye bahati hzo kanun zako hazna uhalisia muache dogo na spirit yake
Unachanganya madesa nmesema wapi Nina maswal 3000? Hapo ukifel interview utaanza kulaumu watu wakat ww mwenyew haupo makinimi nakusubiri wewe mwenye maswali 3000, uliyeanza kujiandaa tangia mwaka wako wa pili.. mwenye maswali ya oral zaid ya 50.
Natumaini kwenye interview yako yakwanza tu utaleta ushuhuda hapa.
Nakuombea Kwa mungu na iwe hivyo
Waaaaoh,kale kafiling sasa kama nakuonaa😀😋itoshe kusema nakutakia kila la khery kwenye safari yako mpya ya upambanaji,enjoy.Habari tena ndugu zanguni. Nimekuja na ushuhuda. Nimefanikiwa kulamba asali ya utumishi kwenye mkeka wa leo. Hakuna kukata tamaa, baada ya kufanikiwa kuingia oral usaili wa mwezi wa tatu bado niliendelea kuhudhuria saili za PSRS na nilikuwa nangoja practical ya NECTA ila wamenipangia kazi. Mungu ni mwema, wapambanaji msichoke.
We si umequote hii komenti kutoka Kwa mtu aliyesema ana zaidi ya maswali 3000 ya aptitude test? Ndo maana nikasema hivoUnachanganya madesa nmesema wapi Nina maswal 3000? Hapo ukifel interview utaanza kulaumu watu wakat ww mwenyew haupo makini