HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hv kuna pdf ya MDA iliyotoka hivi karibuni? Mbn naskia wameanza kuita watu ila siioni hio PDF
 
Mungu akubariki kaka.asante kwa mafunzo mazuri bro.
 
Tuendelee kusubiri kila mmoja wetu ana siku yake ya kupata, ila naona mwezi huu PDF wanaziachia Kwa sana yaani. Tuendelee kuwa wavumilivu kwani Kila kitu kinahitaji subira.
Hatimaye Jioni hii, Utumishi wamenitumia barua ya kuripoti kazini, Ashukuriwe Mwenyezi Mungu Muumba Kwa Kila Hali. Ndugu Jamaa na marafiki tusikate tamaa kwenye utafutaji wa ajira Kila mmoja wetu ana wakati wake wa kupata tuendelee kusubiri na tuwe wastahimilivu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema
 
Hongera Sana Mkuu kama ulivyo sema awali kila mmoja ana siku yake hatimae siku Yako ilikuwa Leo.. Tupia ata kaushuuda mkuu jobless tuliobakia tuendelee kupata moyoπŸ™πŸ™
 
Hongera sana mkuu , ukawe mtumishi mwema.
 
Oooooh jaman nahisi raha mnapoleta mirejesho ya hivii😍😍,hongera sana kaka ake nakutakia mafanikio mema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…