HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni database au direct mkuu oral umefanya lini?
 
Hongera mkuu.usisahau kutupa mbinu za kutoboa.
 
Hongera sana mkuu. Nakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
 
aisee toka jana niko hoi naumwa sjui hata wameniroga wanga.nimeshindwa kusafiri
Kaka m mwenyw hivohvo nipo najiandaa na kaajira ka tanroads nipitia materials mbalmbal nikiitwa usaili niwe konki nmepiga msuli sku 2 TU Leo nmeamka kichwa kinauma upande mmoja balaa hata kuiinama nashindwa Tena upande mmoja TU Tena kama Kuna vitu vnacheza cheza vle kwel vita n kubwa
 
aisee shetani ashindwe mie nikajisemea nisije nikafa kisa kazi🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…