I don't give a fuckk. Huo ndio ukweli. Nighah This country is rotten .. advertisement kwanza 2 positions , 7000+ people..I understand what am saying. Hio nafasi Ina vimemo. Naelewa vyema kwanini nazungumza hivyo. Kama wako hapa they should go to hell for all I care but the dooms day is very near.Umekuja vibaya sana kwenye huu uzi mkuu
Kumbe🤣🤣🤣Naonaga hizi nafasi za cooperative ni za vimemo. 🚮
Kama nafasi zipi mkuu. Toa ufafanuzi tafadhaliNaonaga hizi nafasi za cooperative ni za vimemo. 🚮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnataka nife na utamu wangu
Unayo lini written mkuu?utumishi mmeshanionea vya kutosha kila paper not selected for oral tu sasa paper ijayo lazima niwatoe manyoya.... nawatania bana msije mkanipa kumi na tano bure...una
ninayo jumamosi ijayo ya tar 31.Unayo lini written mkuu?
Utapasua mkuuninayo jumamosi ijayo ya tar 31.
aisee nikipasua hii itakua poa maana ni TPDC buyu la asali lazima niwanunulie hata vi IST wanangu siet 🤣 🤣Utapasua mkuu
aisee nikipasua hii itakua poa maana ni TPDC buyu la asali lazima niwanunulie hata vi IST wanangu siet 🤣 🤣
Dompo tu inanitosha mkuu.aisee nikipasua hii itakua poa maana ni TPDC buyu la asali lazima niwanunulie hata vi IST wanangu siet 🤣 🤣
Ndugu zangu maafisa biashara written vipi?
rudi kachukue vyeti og kwa uhakika zaidi muda bado upo kuna watu hawana huruma hata chembe."Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Hapo kafate vyeti og , Kuna mtu alipigwa chini kwa Kuna na kitambulisho copy"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Kuna msemo unasema , huruma , sio. Malezi.......hao wasahili hawahurumihi mtu aseeeeee"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Kweli kabisaKuna msemo unasema , huruma , sio. Malezi.......hao wasahili hawahurumihi mtu aseeeeee
Meseji ya jana usiku wa manane....Kwani mkuu Trade officer si ishafanyika leo? Kuna wengine kesho??