HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Waombe ndugu zako wakutumie kwa bus
 
Duuh pole Mkuu
Fanya mpango ndugu zako wakutumie ivyo vyeti maana Kuna gari zinazo Fanya safari za usiku ivyo wakitutumia kesho asubuhi kabisa unakipata kisha unafanya Usahili Mkuu
Maana uwezi jua nini kitatokea aya mambo ya huruma sio kitu Cha kuwa na uhakiaka nacho sana
 
Ulifanikiwa kufanya?
 
Huyu Sidhani kama alifanikiwa Kuna mtu written yetu alikuwa na case kama hii Utumishi walimpiga chini hawakumruhusu
Hakuna kilichowezekana kwenye huu uzembe.

"..Hi Bro, these people wamenizuia kufanya hii paper tena hawajataka kabisa kusikiliza na kuelewa utetezi wangu wakidai kuwa sikuwa makini kwenye maandalizi yangu ya kuja kufanya usaili.

Natua silaha chini narudi nyumbani, until further fight, I hope we'll win the battle.

Thank you Kaka.."
 
Pole Sana mkuu na hongera kwa kutokukata tamaa💪💪.... jipange kwa saili zijazo PSRS ata ukiwa na kakasoro kadogo hawakuelewi wanachukulia Advantage hapo hapo ili wakupunguze umakini ni muhim Sana mkuu
 
Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
A real stress baada ya kureport kazini kuitwa uanze kazi kuna taasisi huu ni mwezi wa nane 8 wapo kimya ukiwapigia wanakwambia kuwa na subira.........

Mbaya zaidi unaonekana msumbufu jobless tunapitia mengi .....
 
Pole sana mkuu. Next time fanya kweli. Usiwahurumie na wao
 
Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
7. Baada ya kupangiwa kazi kuna kusubiri kupigiwa simu na mwajiri - More stress
 
A real stress baada ya kureport kazini kuitwa uanze kazi kuna taasisi huu ni mwezi wa nane 8 wapo kimya ukiwapigia wanakwambia kuwa na subira.........

Mbaya zaidi unaonekana msumbufu jobless tunapitia mengi .....
Kuwa serious mkuu. Mwezi wa nane (8) tangu uripoti wanakuambia usubiri. Mimi nina wiki ya pili sasa nasubiri kupigiwa simu. Hizi kazi zina full stress.
 
Na wala hawajali.........

Zaidi ya kukukashifu kijana kuwa na subira.......
Dah, mpaka kashfa tena?

Ukiitwa kazini kwa ile barua, kujaza taarifa zako na kusaini docs husika kwenye hiyo taasisi husika kwani si unakuwa tayari kwenye payroll hata kama utasubiri kwa miezi kadhaa ?

Ama haya mambo yakoje huko utumishini?
 
Dah, mpaka kashfa tena?

Ukiitwa kazini kwa ile barua, kujaza taarifa zako na kusaini docs husika kwenye hiyo taasisi husika kwani si unakuwa tayari kwenye payroll hata kama utasubiri kwa miezi kadhaa ?

Ama haya mambo yakoje huko utumishini?
Mpaka upate check number ndio utajihesabu ni mwajiriwa, tofauti na hapo utasubiri sana. Binafsi naendelea tu na shughuli zangu mpaka nitakapopigiwa simu na mwajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…