Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Ina depends na taasisi zingine unaacha copy utapigiwa simu apo chacha ndio kimbembeDah, mpaka kashfa tena?
Ukiitwa kazini kwa ile barua, kujaza taarifa zako na kusaini docs husika kwenye hiyo taasisi husika kwani si unakuwa tayari kwenye payroll hata kama utasubiri kwa miezi kadhaa ?
Ama haya mambo yakoje huko utumishini?
Jobless tunapitia masaibu mengi sana. Ila hakuna kukata tamaa, kila hatua dua.Ina depends na taasisi zingine unaacha copy utapigiwa simu apo chacha ndio kimbembe
Yap mkuuJobless tunapitia masaibu mengi sana. Ila hakuna kukata tamaa, kila hatua dua.
Hapo no 6 ni stress haswa na hapa utumishi inabidi warekebishe nafasi zinatangazwa mfano 130 umeita watu oral umekamilisha usaili waliofaulu umewapata si weka mkeka tena au tuma taarifa kwa wahusika umefaulu subirieni kupangiwa kazi kadri nafasi zinavyopatikana! na wale waliofeli wapewe taarifa kuliko kuwaacha wote hawajui aliyefaulu hajui aliyefeli hajui, na kuwaacha na stress kuchungulia mikeka kumbe mtu alifeliStages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
Hapana Mkuu unaweza ingia Oral lakini usiitwe kaziniHapo no 6 ni stress haswa na hapa utumishi inabidi warekebishe nafasi zinatangazwa mfano 130 umeita watu oral umekamilisha usaili waliofaulu umewapata si weka mkeka tena au tuma taarifa kwa wahusika umefaulu subirieni kupangiwa kazi kadri nafasi zinavyopatikana! na wale waliofeli wapewe taarifa kuliko kuwaacha wote hawajui aliyefaulu hajui aliyefeli hajui, na kuwaacha na stress kuchungulia mikeka kumbe mtu alifeli
Au utaratibu wao ukoje kwamba wakuu, ukiingia oral ndiyo nitolee hiyo unasubiria kuitwa!?
Mganga si unaye tayari?WAKUU kesho ndo naingia interview yangu ya kwanza ya oral kwenye taasisi moja hivi kubwa mjini, naomba kujua tu tips hasa nikiwa mule ndani ya chumba kuanzia kuangia na kukaa na mambo mengne yote muhimu, lipi la kufanya na lipi niepuke kufanya kabla sijapewa ruhusa
YuPo NAtamba nae, lkn jitihada zangu pia hazibak nyuma Kaz ya MGANGA n kuweka nyota ing'ae HATA kama wanamtu wao wasisite kunipa mmMganga si unaye tayari?
Safi ukafanikiweYuPo NAtamba nae, lkn jitihada zangu pia hazibak nyuma Kaz ya MGANGA n kuweka nyota ing'ae HATA kama wanamtu wao wasisite kunipa mm
1. Dont stress yourselfWAKUU kesho ndo naingia interview yangu ya kwanza ya oral kwenye taasisi moja hivi kubwa mjini, naomba kujua tu tips hasa nikiwa mule ndani ya chumba kuanzia kuangia na kukaa na mambo mengne yote muhimu, lipi la kufanya na lipi niepuke kufanya kabla sijapewa ruhusa
Asante mkuu, huko kwenye database wanaingia watu gani kama unafahamuHapana Mkuu unaweza ingia Oral lakini usiitwe kazini
Lakini walisema mwaka huu watakuja na mfumo wa kujua kama upo kwenye kanzi data au aupo maana watu wengi wanapata ukakasi kuendelea na mchakato wa ajira nyingine wakitegemea kwamba wapi kanzi data mwisho wa siku amna kinacho tokea
Kwa ninavyo jua mtu anaweza ingia kwenye kanzi data endapo ikitokea watu walio fauru oral wapo kumi na Mwajiri anataka watu nane basi wale wawili watabaki kwenye kanzi data ivyo ikitokea nafasi nyingine watachukuliwa ao waliAsante mkuu, huko kwenye database wanaingia watu gani kama unafahamu
Tuliwa kuongelea hili jambo umu ndani lakini mwisho atukufikia mwafaka Kuna mdau alisema kwamba Kuna maswali yanakuwa na alama kubwa kuliko mengine ivyo ndio maana watu wanapata alama tasa au witiriNimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi?
Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na kuendelea
Mtiani ulikua ni wa kuchagua rate ya kila swali kwa uwiano wa maksi mia ilikua ni 3.33@swali
Je ni mfumo gani wanatumia PSRS kurate maksi online?
Mwenye ujuzi atueleweshe tuwe na mbinu sahihi ya kuziaproach hizi online interview.
Website ya secretariat ya ajira utakuta pdfHivi wakuu kuangalia marks za written naangalia vp?
Ajira.go.tzHivi wakuu kuangalia marks za written naangalia vp?
Hongera sana mkuu. Ila maswali 20 ni mengi sana, inaonekana walivutiwa sana na namna unavyojibu. Best wishes, tunasubiri ushuhuda.Oral yangu ya kwanza Leo katika maisha yangu ya utafutaji nmekutana na nimeulizwa maswali 20 niliyoulizwa na panelists 6
Mungu ndo muweza nashukuru sanaHongera sana mkuu. Ila maswali 20 ni mengi sana, inaonekana walivutiwa sana na namna unavyojibu. Best wishes, tunasubiri ushuhuda.
Hongera sana, mlikuwa wachache nini maana maswali 20 ni mengi sana idadi ikiwa kubwaHongera sana mkuu. Ila maswali 20 ni mengi sana, inaonekana walivutiwa sana na namna unavyojibu. Best wishes, tunasubiri ushuhuda.