Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Hili n la muhimu sana maana unaanza kujitoa mchezon mwenywUzembe wa hali ya juu.
Unatakiwa ukague silaha kabla ya kusafiri, hata asubuhi ukiamka kwenda kwenye usaili kagua silaha huenda panya kanyofoa vingine, ukifika eneo la tukio kagua tena kabla wasimamizi hawajaanza kukagua.
Huku nyoosha maelezo mkuuMkuu sidanganyi mtu nimeulizwa maswali 20, majibu yakitoka ntataja taasisi kazi ni ya muda ( 3 years contract) na ni project ya wazungu lkn unasimamiwa na taasisi hyo kubwa ya serikal, kwahyo sjafanya usaili wa utumishi ni taasisi kubwa na pendwa ya serikal hawachukuagi vilaza ni taasisi ya elimu ya juu kubwa hapa Tanzania, ukiachana na Ile ya pale kivulini
Mkuu sidanganyi mtu nimeulizwa maswali 20, majibu yakitoka ntataja taasisi kazi ni ya muda ( 3 years contract) na ni project ya wazungu lkn unasimamiwa na taasisi hyo kubwa ya serikal, kwahyo sjafanya usaili wa utumishi ni taasisi kubwa na pendwa ya serikal hawachukuagi vilaza ni taasisi ya elimu ya juu kubwa hapa Tanzania, ukiachana na Ile ya pale kivulini
Mkuu mm ni mkwereTaasisi kubwa, taasisi pendwa, taasisi ya serikali, hawachukuagi vilaza, taasisi hiyo kubwa etc.
Wewe ni muhaya? Unamficha nani hapa jukwaani hakuna anaekujua na wala hakuna anaejali.
Ulitia mbwembwe za kihaya inawezekana kuna ukweli jamaa ana hoja asilkiluzwe😁😁Mkuu mm ni mkwere
Labda kweli swez bisha😄😄😄Ulitia mbwembwe za kihaya inawezekana kuna ukweli jamaa ana hoja asilkiluzwe😁😁
Unatishika na nn?Mshaanza kunitisha ngoja ni log out jf Kwa mda.
Inawezekana ni kweli mfano mwaka juzi TPdc walikuwa wanasimamia interview za bomba la mafuta ,eacop, maana ni share holder.Jamaa amedhamiria kutunywesha chai.
Mi nasubilia ushuhuda apa nione ukaliii wa mgangaLabda kweli swez bisha😄😄😄
Hii maana yako utumishi wanachukua vilaza au mi ndo sijaelewa??kwahyo sjafanya usaili wa utumishi ni taasisi kubwa na pendwa ya serikal hawachukuagi vilaza
Hapana sjamaanisha hvoHii maana yako utumishi wanachukua vilaza au mi ndo sijaelewa??
Ndio hivyo. Kuna watu Wana dharau bwana...hapo ni jobless anaongea hivyo .wakipata ndio watanyea watu kwenye kichwa.Hii maana yako utumishi wanachukua vilaza au mi ndo sijaelewa??
Utakuja elewa baadae mm sjsongelea vilaza kwenye kazi nmeongelea kwenye udahili WA wanafunz maana yenyewe ni taasisi ya elimu ya juu ambayo nimesema ni kubwa ya serikal inayoheshimika, kwahyo hayo maelezo yangu yalikua yanaelezea hyo taasisi Kwa mafumbo ambao watu wataijua Kwa code maana sijahitaja!!! Kwahy Kwa mantiki hyo sijaongea kuhusu kazi niliyoomba maana haikua na masharti ya kitaaluma nazan utakua umenielewaNdio hivyo. Kuna watu Wana dharau bwana...hapo ni jobless anaongea hivyo .wakipata ndio watanyea watu kwenye kichwa.
Mi nataka nione power za mganga ayo Majungu kujiona umepiga interview kushinda watu wote duniani ni utoto wako unakusumbua........Utakuja elewa baadae mm sjsongelea vilaza kwenye kazi nmeongelea kwenye udahili WA wanafunz maana yenyewe ni taasisi ya elimu ya juu ambayo nimesema ni kubwa ya serikal inayoheshimika, kwahyo hayo maelezo yangu yalikua yanaelezea hyo taasisi Kwa mafumbo ambao watu wataijua Kwa code maana sijahitaja!!! Kwahy Kwa mantiki hyo sijaongea kuhusu kazi niliyoomba maana haikua na masharti ya kitaaluma nazan utakua umenielewa
Ishomile hahahMi nataka nione power za mganga ayo Majungu kujiona umepiga interview kushinda watu wote duniani ni utoto wako unakusumbua........
Ushuhuda muhimu APA.
Sjasema sema mahali popote kama nimefanya vzuri kwenye interview kilichonishangaza ni kuulizwa maswali mengi mno tofaut na nayoyasikia kutoka watu mbalimbali humu ndani wanaoheshimika hvo nilikua nataka kupata ufahamu zaidi kuhusu hili swala, kama WEWE unaona najisifu hayo n Yako maana Kaz ni mpango WA MUNGU hata kuwaza tu labda ntaitwa swez ndo kwanza nipo najiandaa na interview katika taasisi nyingne na kuboresha Zaid pale nilipoona nimekwama Kwa interview iliopta, interview ni Siri ya mtu huo ujinga wakujiona Bora sinaga mara zote napenda kujifunza watu wengne waseme mm Bora sio nijisifie pia weng wanaweza kuwa wamepita na wamefanya vizur Zaid yanguMi nataka nione power za mganga ayo Majungu kujiona umepiga interview kushinda watu wote duniani ni utoto wako unakusumbua........
Ushuhuda muhimu APA.
Leo umemkumbuka Mungu basi ugomvi umeisha naomba utambue bila Mungu hakuna success kote utazunguka utarudi kwake......Sjasema sema mahali popote kama nimefanya vzuri kwenye interview kilichonishangaza ni kuulizwa maswali mengi mno tofaut na nayoyasikia kutoka watu mbalimbali humu ndani wanaoheshimika hvo nilikua nataka kupata ufahamu zaidi kuhusu hili swala, kama WEWE unaona najisifu hayo n Yako maana Kaz ni mpango WA MUNGU hata kuwaza tu labda ntaitwa swez ndo kwanza nipo najiandaa na interview katika taasisi nyingne na kuboresha Zaid pale nilipoona nimekwama Kwa interview iliopta, interview ni Siri ya mtu huo ujinga wakujiona Bora sinaga mara zote napenda kujifunza watu wengne waseme mm Bora sio nijisifie pia weng wanaweza kuwa wamepita na wamefanya vizur Zaid yangu
Sidhani Mimi niliambiwa nitaulizwa maswali ma5, lakini cha ajabu nilipewa maswali 8, na mwisho kiongozi wa panel alinisisitiza niwe napitia website yao mara kwa mara mpaka Leo hii kimya...kikubwa kuomba Mungu tuSjasema sema mahali popote kama nimefanya vzuri kwenye interview kilichonishangaza ni kuulizwa maswali mengi mno tofaut na nayoyasikia kutoka watu mbalimbali humu ndani wanaoheshimika hvo nilikua nataka kupata ufahamu zaidi kuhusu hili swala, kama WEWE unaona najisifu hayo n Yako maana Kaz ni mpango WA MUNGU hata kuwaza tu labda ntaitwa swez ndo kwanza nipo najiandaa na interview katika taasisi nyingne na kuboresha Zaid pale nilipoona nimekwama Kwa interview iliopta, interview ni Siri ya mtu huo ujinga wakujiona Bora sinaga mara zote napenda kujifunza watu wengne waseme mm Bora sio nijisifie pia weng wanaweza kuwa wamepita na wamefanya vizur Zaid yangu