Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Namm ndo hoja yangu kwamba nilijiandaa na maswali matano lkn nikakutana na 20 hvo nmepata kitu Cha kujifunza pia hapo kwamba maandaliza yangu yawe makubwa zaidi ya nilivokua nafikiria hapo mwanzo sio kwamba nazan au nasema nmefanya vzuri Zaid ya wengne ambao kimsing sjui walichoulizwa na walichojibuSidhani Mimi niliambiwa nitaulizwa maswali ma5, lakini cha ajabu nilipewa maswali 8, na mwisho kiongozi wa panel alinisisitiza niwe napitia website yao mara kwa mara mpaka Leo hii kimya...kikubwa kuomba Mungu tu
Mungu ndo muweza wa yote, lkn Kwa mganga siachi kuhudhuria ilimradi simrog mtu Wala kupiga ramli nafata dawa tuLeo umemkumbuka Mungu basi ugomvi umeisha naomba utambue bila Mungu hakuna success kote utazunguka utarudi kwake......
Good luck 🤞 🤞 mkuu......
🤣🤣🤣umenikumbusha ile kwaya ya kikatoliki waliimba mchanganyoMungu ndo muweza wa yote, lkn Kwa mganga siachi kuhudhuria ilimradi simrog mtu Wala kupiga ramli nafata dawa tu
Dunia inamengi hii mizimu ya mababu zetu inaumuhimu wake tukiachana na Hz dini za kuletewa🤣🤣🤣umenikumbusha ile kwaya ya kikatoliki waliimba mchanganyo
Ndo maana kuna mdau pale kasema huyo ni muhayaHii maana yako utumishi wanachukua vilaza au mi ndo sijaelewa??
Kaka hapana hyo statement ya vilaza nlkua naongelea hiyo taasisi kwenye udahili wa wanafunzi wao ukisoma vizur utaelewa nilikua nazungumzia nn, taasisi niliitaja Kwa mfano wa mafumbo kwamba ni kubwa, ni yaserikali Tena pendwa haichukui vilaza na pia Kwa dar es salaam unaweza linganisha n Ile ya pale kivulini ( ambapo ni kituo Cha daladala Cha UDSM) hvo Kwa maelezo hayo Moja Kwa Moja nazan wengi waloelewa watajua hyo ni taasisi Gani hapa dar es salaam!!! Kaz yangu ilikua Haina vigezo vizito diploma na degree wote tuliomba na tulifanya usaili kugombea nafas hyohyo bila mashart yoyote yaleNdo maana kuna mdau pale kasema huyo ni muhaya
Anaona wengine vilaza yeye bright😁😁
Kile kivuko ukikiwaza sana kitakushangaza Bora upite darajani.Wakuu naomba kufahamu kwa wakazi wa Kigamboni, hivi kile kivuko pale kipo masaa 24? Au huwa kinaanza kazi saa ngapi kwa asubuhi?
Sawa mkuu AsanteKile kivuko ukikiwaza sana kitakushangaza Bora upite darajani.
Wakuu naomba kupata maelezo ya kufika eneo la usaili, venue ya usaili imeandikwa OFISI ZA SEKRETARIETI YA
AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PSRS) -DODOMA.
Fika dodomaWakuu naomba kupata maelezo ya kufika eneo la usaili, venue ya usaili imeandikwa OFISI ZA SEKRETARIETI YA
AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA (PSRS) -DODOMA.
Kwa admission sina uzoefu nako, ila kwa accounts pitia fundamentals za accounts like account equations, principles and concepts za accounts, characteristics of accounting/financial statements, components of financial statements, cash flows and its contents, types of correction of errors, bank reconciliation(muhimu sana hii) etc.Naomba msaada wa haya.
1.Maswali ya written interview nafasi ya admission officer ii utumishi
2.Maswali ya written interview accounts officer ii mwajiri ni tanroads songwe.
Mkuu kwa Kanda ya Dar mwambie afanye haraka kuwahi kesho asubuhi mapema by saa 1, Halmashauri manispaa kigamboni ndo show inafanyika!Habari wadau,
Naomba kuuliza kwa niaba.
Wasailiwa wa kada ya Afisa Mazingira II wanafanyia wapi usaili wa mahojiano maana muhusika ananiambia tarehe ya usaili ni kesho 29.05 na hafahamu venue ni ipi
Alifanya written kanda ya Dar es salaam.
N.B akaunti haioneshi mahala pa usaili wa mahojiano.
Mkuu mbona dundo lipo kwenye tovuti yao kitambo hata kabla hawafanya written walitoa venue mapemaHabari wadau,
Naomba kuuliza kwa niaba.
Wasailiwa wa kada ya Afisa Mazingira II wanafanyia wapi usaili wa mahojiano maana muhusika ananiambia tarehe ya usaili ni kesho 29.05 na hafahamu venue ni ipi
Alifanya written kanda ya Dar es salaam.
N.B akaunti haioneshi mahala pa usaili wa mahojiano.
Asante sana mkuu.Mkuu mbona dundo lipo kwenye tovuti yao kitambo hata kabla hawafanya written walitoa venue mapema