Nashukuru sana. Kijana anaenda kulala huko usiku huu.Mkuu kwa Kanda ya Dar mwambie afanye haraka kuwahi kesho asubuhi mapema by saa 1, Halmashauri manispaa kigamboni ndo show inafanyika!
Mkuu mbona dundo lipo kwenye tovuti yao kitambo hata kabla hawafanya written walitoa venue mapema
PamojaAsante sana mkuu.
Nimemfikishia taarifa.
PamojaNashukuru sana. Kijana anaenda kulala huko usiku huu.
Kwanini mkuu?utumishi mbona tunatesana hivi au mnataka rushwa..?
Kwa experience ya washkaji waliopata wanasema inaanza PDF pia Kuna wengine walipigiwa simu kabisa ndo PDF ikafataHalafu kwa wazoefu naomba mnisaidie hivi placement huwa inaanza kutokea kwenye account ya mtu au inaanza PDF?
Hawa utumishi wahuni washaondoa Pdf moja 😂😂 waliitoa kimakosa nnKuna muda zilitolewa pdf tatu za placement kwenye tovuti ila sasa hivi naona zimebaki mbili au walijichanganya!?
Ha ha ha ha na nilikuwa nishazinyonya zoteHawa utumishi wahuni washaondoa Pdf moja 😂😂 waliitoa kimakosa nn
Hata mimi japo tunasikilizia na sisi wengn majina yetuHa ha ha ha na nilikuwa nishazinyonya zote
Asante mkuuKwa experience ya washkaji waliopata wanasema inaanza PDF pia Kuna wengine walipigiwa simu kabisa ndo PDF ikafata
Utumishi wanatuweka roho juu sana kila mkeka inabidi ujichungulie, oral ulifanya lini mkuu?Hata mimi japo tunasikilizia na sisi wengn majina yetu
Juzi tu hapo sina mda mrefu tareh 13 mwez huu wa 5Utumishi wanatuweka roho juu sana kila mkeka inabidi ujichungulie, oral ulifanya lini mkuu?
Nadhani wataachia PDF lingine kukikucha
Hivi kuna mtu alishawahi kuingia kwa hii mbinu ?utumishi mbona tunatesana hivi au mnataka rushwa..?
Ooh sawa mkuu, utafanikiwa kuingia kwenye utumishi wa umma nakuombea heri, nawe usiache kuomba Mungu atafungua njiaNdio interview yangu ya kwanza
Shukran san mkuu na iwe hivyo ntarudi tutoa mrejesho apaOoh sawa mkuu, utafanikiwa kuingia kwenye utumishi wa umma nakuombea heri, nawe usiache kuomba Mungu atafungua njia
Jumamos hii nina interview ingine natak nikapambanie nafas na hiiOoh sawa mkuu, utafanikiwa kuingia kwenye utumishi wa umma nakuombea heri, nawe usiache kuomba Mungu atafungua njia