HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hakuna utofauti wote ni TGS (Kwa Kada nyingi eg. Hr, Account, lawyers etc) na TGHS (kada za afya).
Mfano MD wa Lga na Wizara anakula TGHS E 1,530,000.00
Mkuu vipi kwa wale wanaopata nafasi kwenye mabaraza kama Bakita, baraza la mitihani, basata and the like wao mishahara yao ikoje ina range kuanzia ngapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…