Umeiweka vema sana hii.Hii nililiona kwenye moja ya interview ya utumishi
Mfano
Kwenye nida mtua anaitwa
Muhidi Ahmed kibwana
Lakini kwenye vyeti vya kitaaluma
Wameandika
Muhid . A. Kibwana
Utumishi ,, waliwaambia watu kwamba kwenye written wataruhisiwa kuongia lakin kwenye oral interview itabidi waje na udhibitisho unaoonesha kuwa
Katika jina la
Muhid. A . kibwana
A ni Ahmed , nje na hapo vijana hao hawatoruhisiwa kuingia kwenye usahili wa mahojiano ..
Hivyo kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ishu kama hii ni bora ukachukua hatua mapema kabla hayajakukuta
Hii case ata Mimi ninayo lakini nashangaa tangu naanza saili sijawahi zinguliwa na oral yangu ya mwisho ni jumapili iliyopita nazan inategemeana na msimamizi lakini ni vema ukawa na affidavit for emergencyHii nililiona kwenye moja ya interview ya utumishi
Mfano
Kwenye nida mtua anaitwa
Muhidi Ahmed kibwana
Lakini kwenye vyeti vya kitaaluma
Wameandika
Muhid . A. Kibwana
Utumishi ,, waliwaambia watu kwamba kwenye written wataruhisiwa kuongia lakin kwenye oral interview itabidi waje na udhibitisho unaoonesha kuwa
Katika jina la
Muhid. A . kibwana
A ni Ahmed , nje na hapo vijana hao hawatoruhisiwa kuingia kwenye usahili wa mahojiano ..
Hivyo kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ishu kama hii ni bora ukachukua hatua mapema kabla hayajakukuta
Ofcourse hawazingatii ili maan mimi pia nina case kam hii na leo hii nimetok kufanya interview sijaambiwa chochoteHii case ata Mimi ninayo lakini nashangaa tangu naanza saili sijawahi zinguliwa na oral yangu ya mwisho ni jumapili iliyopita nazan inategemeana na msimamizi lakini ni vema ukawa na affidavit for emergency
Mbona km hlo hana shidaKwenye kitambulisho kwa ajiri ya utambuzi cha mpiga kura kinakuwa JUMA F MICHAEL lkn kwenye vyeti na documents zote jina liko JUMA FRANCIS MICHAEL utumishi wanakugomea kufanya usahiri na kiapo cha Jina [affidavit ] utaratibu gan wa kukipata????
Hapo hakuna tatizo lolote maana kadi za mpiga kura zote majina ya kati ya nakua n initials tu hakuna kitambulisho chenye full name kwa jina la katiKama kitambulisho tu ndio kina shida kwa nini usichukue tu barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa kuliko kujichosha mkuu. Achana na hicho kitambulisho, nenda serikali yoyote ya mtaa wape 2000 wakupe barua ya utambulisho. Nenda na picha moja ya passport-size.
Basi itakuwa hawazingui mdau hapo awe na amani tu akapige interviewOfcourse hawazingatii ili maan mimi pia nina case kam hii na leo hii nimetok kufanya interview sijaambiwa chochote
Eee aende tu iyo sio ishu sana wanazingatia cheti cha kuzaliwa na kitambulisho kam hakifanani na vyeti vingin ilo ndo tatiozBasi itakuwa hawazingui mdau hapo awe na amani tu akapige interview
Rahsully bora hukuapply aiseehii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
Vipi tena Engineer. Umekutana na nini huko?hii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
aisee acha tu sidhani kama waliotunga ule mtihani watakua wa TZ itakua wazunguVipi tena Engineer. Umekutana na nini huko?
watakua wamepita na mimi kama upepo kutoboa si rahisi paleVipi tena Engineer. Umekutana na nini huko?
Subiri matokeo. Inawezekana ukaambulia hata kimini (50)watakua wamepita na mimi kama upepo kutoboa si rahisi pale
Dahhii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
Hili jina lako halina shida mkuu, but tengeneza kiapo kama ushahidi tuBinafsi sijalielelewa hilo Tangazo lao kuhusu Majina.
Mfano, Nida nina majina matatu ambayo ni KAPARO MZEE WAKUNI.
Kuzaliwa pia ni KAPARO MZEE WAKUNI.
Vyeti vya masomo ni KAPARO M WAKUNI.
Hapo nahitajika pia kubadilisha? Nielewesheni mlio waelewa.
ngoja nisikilizie maana hukumu muda si mrefu inatoka..Subiri matokeo. Inawezekana ukaambulia hata kimini (50)
Pepa ilinyooka sana.hii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
mmh inategemea mkuu siku wakichafukwa ndio kama leo sasa 🤣 🤣Pepa ilinyooka sana.
Mimi nilihisi pepa za utumishi wanazingatia yaliyo kwenye job description/requirements, kumbe inategemea.
Sawa mkuu tusubiri tu huo mkeka..🤣🤣mmh inategemea mkuu siku wakichafukwa ndio kama leo sasa 🤣 🤣
amna noma ngoja tuone itakavyokuaSawa mkuu tusubiri tu huo mkeka..🤣🤣