HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dhu kak inamaana walitoa nje modules au namna gani vipi
Kwa pepa ya instrumentation Engineer II TPDC
1. Pepa ili base kwenye Sensors, Transducers, Transmitters, PLCs, DCS, SCADA, Safety, Mesurement & Errors etc.
2. Maswali yalihusisha kutoa solutions za Instrumentation Engineering Problems mfano PLC/DCS related problems
3. 30 Multiple choice questions, 40 Minutes
 
Naomba kuuliza kama vyeti vyote vinamajina kwamfano FRANK T MINJA kasoro cha kuzaliwa ambapo jina langu limeandikwa FRANK na lababa THOMAS MINJA KALOLO je hapo nahitaji kuthibitisha huyo ni mm au ni majina yapo sawa? Maana jina lababa kivyovyote kwenye cheti Cha kuzaliwa haliwez kuanzia na initial.
 
Ushauri...nenda eneo ulilopata cheti cha kuzaliwa ukabidilishe hicho cheti cha kuzaliwa ili majina yafanane na vyeti ni rahisi na haichukui muda...


Kinyume na hapo itakusumbua mbeleni huko
 
Uko aral usikute pia Kuna mziki msichoke wakuu kazeni buti
 
Ushauri...nenda eneo ulilopata cheti cha kuzaliwa ukabidilishe hicho cheti cha kuzaliwa ili majina yafanane na vyeti ni rahisi na haichukui muda...


Kinyume na hapo itakusumbua mbeleni huko
Nabadilishaje jina la baba? Hyo (T) inasimama kama jina la baba la mwanzo ambalo ni Thomas minja kalolo, Mimi langu ni Frank Sasa ukisema nibadilishe jina la baba liendane na Kwenye vyeti vingine maana yake liwe T MINJA KALOLO NASIO THOMAS MINJA KALOLO, swali ni kwamba hili linawezekana?
 
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema πŸ’₯πŸ’₯
ilichukua muda gani mkaanza kujiona kwenye mikeka baada ya kupig oral ??
 
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema πŸ’₯πŸ’₯
ilichukua muda gani mkaanza kujiona kwenye mikeka baada ya kupig oral ??

 

Attachments

  • Screenshot_20250530-214410.jpg
    254.2 KB · Views: 20
Nachofahamu ...Jina la Baba la Mwisho ambalo ni Minja ndio jina lako la mwisho sasa hapo kuna Kalolo ...Je hilo ni jina la nani tena?...la ukoo au la baba yake na babako.
 
Nachofahamu ...Jina la Baba la Mwisho ambalo ni Minja ndio jina lako la mwisho sasa hapo kuna Kalolo ...Je hilo ni jina la nani tena?...la ukoo au la baba yake na babako.
JINA LAKO: FRANK
JINA LA BABA: THOMAS MINJA KALOLO

Hayo ndo maelezo yaliopo kwenye cheti changu jina langu lipo moja tu, na jina la baba yapo majina yake matatu, Sasa sjajua vyeti vingine vipo Kwa mfumo Gani lkn changu ndo kipo hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…