HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
JINA LAKO: FRANK
JINA LA BABA: THOMAS MINJA KALOLO

Hayo ndo maelezo yaliopo kwenye cheti changu jina langu lipo moja tu, na jina la baba yapo majina yake matatu, Sasa sjajua vyeti vingine vipo Kwa mfumo Gani lkn changu ndo kipo hvo
Mimi majina yangu yapo hivo hvo kama usemavyo wewe majina ya kwenye vyeti jina la kati ni initial na kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba yapo majina matatu na sijawahi pata kikwazo chochote kwenye saili.
 
Mimi majina yangu yapo hivo hvo kama usemavyo wewe majina ya kwenye vyeti jina la kati ni initial na kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba yapo majina matatu na sijawahi pata kikwazo chochote kwenye saili.
Nashukuru Kwa ufafanuzi maana jina langu natakiwa niwekee Moja tu, na jina la baba ni matatu Tena lakwanza la baba haliwez kuanza na initial lkn ntajitahd kupata affidavit Kwa tahadhari tu
 
Hongera mkuu kila.la heri kwenye mapambano mapya
 
Wanangu wa faida ... Nimefanya interview ya written Jana

Nimepita kwenda oral ... I hope nitakuja na ushuhuda
.
Zaburi 75:6-7
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema
Endelea kujiandaa vizuri, ondoa hofu, vaa vizuri, na hakikisha maswali yote utakayoulizwa unayajibu huku ukiamini hiyo ni nafasi yako tu hata kama ni moja ukiweza mpe Bwana sadaka ya shukrani kwa hatua hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…