HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tumemaliza tu kufanya oral leo, wakaanza kubeba meza na milango, majagi, vikombe etc.
Utumishi wamehama mazima pale Asha Rose Migiro.
 
Tumemaliza tu kufanya oral leo, wakaanza kubeba meza na milango, majagi, vikombe etc.
Utumishi wamehama mazima pale Asha Rose Migiro.
kwa hiyo sasa sisi tuliyoambiwa kuwa usahili utakua ofisi za secretariet ya ajira-dodoma itakua siyo migiro si ndio..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…