Vaa shati lenye rangi moja tu kama ni jeupe liwe jeupe, kama ni jeusi liwe jeusi n.k usivae T-shirt ndugu yangu, utajipunguzia maksi.Mkuu kwenye oral unaweza vaa form six yan t-shirt yenye kola au lazma sharti mikono mirefu? Maana SISI wengine wafup weus wanene masharti hayatukai
Ooh sawaVaa shati lenye rangi moja tu kama ni jeupe liwe jeupe, kama ni jeusi liwe jeusi n.k usivae T-shirt ndugu yangu, utajipunguzia maksi.
Endelea kuleta masihara.Mkuu kwenye oral unaweza vaa form six yan t-shirt yenye kola au lazma sharti mikono mirefu? Maana SISI wengine wafup weus wanene masharti hayatukai
😂😂😂😂😂Endelea kuleta masihara.
Hapana nmeuliza TU sio maksiharaEndelea kuleta masihara.
Usivae tshirtHapana nmeuliza TU sio maksihara
Itakuwa umefanya kosa kubwa la kiufundi mkuu, hakuna mtu ambaye shati halimkai labda uwe pigo zako ni kuvaa oversize ha haMkuu kwenye oral unaweza vaa form six yan t-shirt yenye kola au lazima sharti mikono mirefu? Maana SISI wengine wafup weus wanene masharti hayatukai
Hongera sana mkuu, kuwa na imani utafauluDah!!, haya mambo yanahitaji neema za Mungu. Binafsi interview za ualimu za Januari nilipigwa chini bila huruma kwenye written kwa sababu nilikosa document moja original. Juzi kati hapa nikaitwa moja kwa moja Oral pale DUCE, maswali yao ni ya kawaida lakini yanahitaji experience zaidi, kama umetoka chuoni na hujafundisha popote basi angalau uwe hujahitimu miaka mingi iliyopita, vinginevyo usipokaa sawa unapigwa knockout. Hebu fikiria maswali matano na kila swali linahitaji point zisizopungua nne uyajibu ndani ya dakika tano pekee😔. Mimi nilijibu kwa kadri ya uwezo wangu, mengine namuachia Mungu.
haahaah analeta masihara kwenye ugali.Endelea kuleta masihara.
Kabisaaaa. Watu wapo serious kutafuta ugali, yeye anaingiza masihara.haahaah analeta masihara kwenye ugali.
Sawa kaka ntatafuta suti Moja Kali na sharti Kali la kuulia interview TU za oralItakuwa umefanya kosa kubwa la kiufundi mkuu, hakuna mtu ambaye shati halimkai labda uwe pigo zako ni kuvaa oversize ha ha
Ukiweza tupia suti au Kaunda laa, vaa shati lako safi weka na tai kiatu safi yaani unaapper vizuri mpk wahisi wewe ndiyo boss wao
Tafuta na kale ka nembo ka taifa.Sawa kaka ntatafuta suti Moja Kali na sharti Kali la kuulia interview TU za oral
Kwahiyo Wale bodaboda wa kule UDOM wamepoteza wateja.sasa hivi tutakua tunakandwa gorofa ya nane uko.Yaani mtu unapanda lifti kuufata mkando.. 🙌
View attachment 3357083
Kale naweza pata wapi?Tafuta na kale ka nembo ka taifa.