HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Utareta ushuhuda watu waelewe mi mwenyewe nilikuwa siamini ila huu ndio ukweli ata usipo pata kwenye taasisi uliyofanyia jua upo data base any day unaenda kureport kituo cha kazi ......
Niambie na hii inamanisha nini? NOT SHORTLISTED
 

Attachments

  • IMG-20250608-WA0007.jpg
    17.6 KB · Views: 47
Wapendwa tuwe na imani, kila mmoja kwa wakati wa Bwana atakutana na huu ujumbe siku moja.

"Hongera
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…