HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu naomba kujua kwenye app ikisoma selected for oral interview inachukua muda gani kupata replacement
 
Mkuu naomba kujua kwenye app ikisoma selected for oral interview inachukua muda gani kupata replacement
Apo kuna mawili unaweza kuitwa na taasisi uliyofanyia interview au ukatolewa data base kutokana na ufaulu wako nafasi ikipatikana

Mara nyingi huchukua mwezi 1-4..

Lakini sheria za utumishi data base inakaa mpaka mwaka mzima maana miezi 12 toka siku ulipo fanya oral....
 
Asante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…