Mkuu Utumishi washatoa Update ya vituo vya usaili wenu mida hii naona mnafanya kikandaWakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka
hizi pepa kufaulu ni shida ndugu yangu mie nashauri wangetuchukua tu kazi tutazijulia hukohuko maofisini. π€£ π€£ππ We jamaaa
naona 96 mmefungana mtu kama miatano hivi. π€£ π€£ π€£Pamoto sanaa pangaaa limenipiga na 96 daaaah roho inaumq nyieee,,ilaaa asali iko njiani hiii hapa hakuna kulegeza kambaaa iyoo
yaani watu elfu mbili na kitu wanachukua watu 63 hilo sio panga ni shoka.. π€£ π€£πππmakaa ya mawe yamechochewa kisawa sawa
Paper ilikua ni multiple choice auNdio mkuu tutakuwepo na huko ....tuombe uzima mkuu.
Mi paper ya TPDC nilikutana na not selected for oral, maumivu yake ni balaa simu haishikiki baada ya muda mtu ndo una recover sio poa "not selected for oral inauma vibaya mno alafu ukute umekosa marks kama 2,3,4,5 panga linaanzia kwako ni balaa"yaani watu elfu mbili na kitu wanachukua watu 63 hilo sio panga ni shoka.. π€£ π€£
ndio tulifanya aptitude test kwenye mfumo wao wa OATS na computersPaper ilikua ni multiple choice au
hahahaha imenikuta leo, japo sikusoma na sikuwa na maandalizi ila kukosa marks chache nimeona kama nilistahili hivi....njia nzima napiga hesabu zanguMi paper ya TPDC nilikutana na not selected for oral, maumivu yake ni balaa simu haishikiki baada ya muda mtu ndo una recover sio poa "not selected for oral inauma vibaya mno alafu ukute umekosa marks kama 2,3,4,5 panga linaanzia kwako ni balaa"
Yaan πππnaona 96 mmefungana mtu kama miatano hivi. π€£ π€£ π€£
Ukisikia machinjioni kumetapakaa damu ndio hukoo mkuuyaani watu elfu mbili na kitu wanachukua watu 63 hilo sio panga ni shoka.. π€£ π€£
Yaan πππ€£ kazi ipo ka na 96 wamenitema tunaponea wp sasaYaan πππ
Tusikate tamaa ndugu mi mwenyew na 96 yang chalii tupambane tena admission ndugujamani mm nimekata tamaa na utumishi...
Kilanikigusa ushindani unanitoa.
Mitihani yote juu ya 80 lakini sijawahi fika oral hahahaha ....quality assurance huko kwa moto sana hahahahaha
tutaanza kuingia na hirizi sasa..Yaan πππ€£ kazi ipo ka na 96 wamenitema tunaponea wp sasa
Asante mkuu na pole pia aiseh....tujiandae na admission tuone uelekeo utakuwaje kuwaje.....naimani tutaenda oral mkuu.Tusikate tamaa ndugu mi mwenyew na 96 yang chalii tupambane tena admission ndugu
Kwa kwel au nikamuone sangoma onetime chap kwa harakatutaanza kuingia na hirizi sasa..
Yaan mi mwenyew nguvu zote ziliisha skuwa na hamu tena ata ya kuingia ajira portal sk nzma leo saiv ndo nmerecover at least nmepata na ngv ya kujiandaa na admission jmosMi paper ya TPDC nilikutana na not selected for oral, maumivu yake ni balaa simu haishikiki baada ya muda mtu ndo una recover sio poa "not selected for oral inauma vibaya mno alafu ukute umekosa marks kama 2,3,4,5 panga linaanzia kwako ni balaa"
πππyaan hilo shokaa sio la nchi hiiYaan πππ€£ kazi ipo ka na 96 wamenitema tunaponea wp sasa
π€£π€£π€£π€£mara pap linaanguka irizi lako pale pa kukaguliwa vyetitutaanza kuingia na hirizi sasa..