HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?

Khasanteni
 
Itabaki hivyo hivyo selected for oral,pia ni vyema kuendelea kufanya usaili wa post mbalimbali za kada yako Ili kujiongezea WiGo mkubwa wa kupangiwa kituo Cha kazi,maana mtu unaweza kuwa ulifika oral lakini hukupata zile marks za kuwekwa kwenye database au unapata marks za kuwepo kwenye database lakini unakuta wapo walio kuzidi marks Soo wataanza wao kupangiwa kwanza then ikipatikana nafasi na wewe utapangiwa,kikubwa ni kumuomba mungu tu ndugu yangu maana haya mambo ni fumbo
 
Mkuu database wanasema mwaka lakini inakaa zaidi ya mwaka shida hapo kuwafanyisha watu interview upya wakati Kuna watu wako database bado kunawatu wamefanya MDAs mwezi wa tano ila mwezi huu wamepigiwa simu kutoka halmashauri walizofanya mwaka Jana kuuliza Kama wamepata kazi nakuwaambia waendelee kufatilia mikeka hapo unaona kabisa kule MDAs wamepoteza muda na pesa for nothing hawa utumishi nikuendelea kufanya interview mpaka utakapoona jina kwenye mkeka
 
Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au laah, alafu ikitokea umekaa kwenye database zaidi ya mwaka mmoja na ushakua expired kuitwa status ile iliyoandikwagwa selected for oral uwa inabadilikaga nayo au inaendelea tu kuwepo selected for oral?
 
Kwanza kabisa nafasi yoyote ikitokea wew inabidi uomhe maana huwezi jua labda kwenye oral inawezekana hukupata marks 50 ambazo zinakuweka database.

Kwa hyo ukiona zimetangazwa ujue tu kuwa database hamna mtu wakumchukua kwa hyo wanalazimika wazitangaze nafasi tena kwa hyo kada( maana kama kuna mtu database hawawezi kufanyisha usaili mwingine maana usaili ni gharama)

Pia ile status huwa ipo tu haibadiliki hata baads ya miaka kumi( haijalishi uko database au ulifeli oral ile status ipo tu)

Pia hamna cha database ku expire .. maana kwa experince yangu ya kufatilia mikeka na pdf za za humu kuna watu wameitwa kupititia database hata baada ya miaka miwili au mitatu( hapo inategemeana na uhitaji wao na utashi wao)

Kwa hyo kama unaamini ulifanya vizuri kwenye oral wewe subiri tu utaitwa muda wowote ule.
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…