Hongera sana.Huwa sioni shuhuda za CLINICAL OFFICERS, NURSE, TEACHERS. Jamani pdf zinamwagika tu na hao wadau shuhuda hazipo?
Nenda airport ukapande ndege,kama huwezi nenda mbagala stand unapanda gari za kwenda nyamisati ,hko utakutana na boti zinazoenda mafiaWakuu nataka nikafanye written Mafia nipeni namna ya kufika uko natokea dar
Bora tu aingie gharama awahi usaili .mana anaweza kwenda hko anapotaka wakamzingua ,Hivi inawezekana kubadilishiwa kituo cha usaili na hawa ndugu zetu utumishi?
Kuna mdogo wangu kapangiwa usaili Mbali na anapoishi kwa sasa..
Naenda kuwakanda nishawakanda MDAs Bado nawasikilizia uku nikipambana pia hizi zingneMafia tena! Yaani wakandaji wanataka wakupandishe boti wakakukande vizuri. Dah!
Mimi kiSarawe sikuomba kak ntapambana mafia sababu watu mia 3 wachache sana na wengi hawatoendaNa Mimi nimeitwa uko mafia ila nikifikiria Kuna mambo za kupanda boti daah!!!! Moyo unasema nikajilipue tu kisarawe.
Mashuka Nyamisati mwisho kaka? Vp na nauli zake zikojeNenda airport ukapande ndege,kama huwezi nenda mbagala stand unapanda gari za kwenda nyamisati ,hko utakutana na boti zinazoenda mafia
Mashuka Nyamisati mwisho kaka? Vp na nauli zake zikojeNenda airport ukapande ndege,kama huwezi nenda mbagala stand unapanda gari za kwenda nyamisati ,hko utakutana na boti zinazoenda mafia
Kila la kheri kaka tuendelee kupambana na Halmashaur mana huku MDA's & LGA's sioni dalili za kutuita sasa hiviMimi kiSarawe sikuomba kak ntapambana mafia sababu watu mia 3 wachache sana na wengi hawatoenda
Nauli Sina uhakika sana ila sidhani km itazidi 20kMashuka Nyamisati mwisho kaka? Vp na nauli zake zikoje
Ee kaka tukapambane uko kuongezea wigo wakupata check noKila la kheri kaka tuendelee kupambana na Halmashaur mana huku MDA's & LGA's sioni dalili za kutuita sasa hivi
Pamoja kakNauli Sina uhakika sana ila sidhani km itazidi 20k
TGS EWakuu engineer wa halmashauri anapokea mashahara kiasi gan na Kuna allowances zozote anapata
Per diem zinakuwepo za kutoshaTGS E
1,000,000.00 basically
Allowance kwa mbiiiiiindeeee
Omba mkuu utajua uko uko mbele ya safariWakuu nimeona Tangazo la weightbridge officer II
Nimeshangaa kuona mpaka kozi yangu ya sociology naweza ku apply
Ngoja niongezee received 😂 japo sijui interview yake itakuwaje
Afisa Mzani Daraja II TANROADSWakuu nimeona Tangazo la weightbridge officer II
Nimeshangaa kuona mpaka kozi yangu ya sociology naweza ku apply
Ngoja niongezee received 😂 japo sijui interview yake itakuwaje
Ila usije kula hela ya Transporter, utafungwaa😎Afisa Mzani Daraja II TANROADS
Apply Mzee ikitiki, hutojutaaa..