ANoblePerson
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 492
- 745
Za kwenda wapiPer diem zinakuwepo za kutosha
Hahahaha Mkuu siwezi kula πIla usije kula hela ya Transporter, utafungwaaπ
Pamoja mzeeAfisa Mzani Daraja II TANROADS
Apply Mzee ikitiki, hutojutaaa..
Hahaha kabisa mkuuOmba mkuu utajua uko uko mbele ya safari
Safar za site nkZa kwenda wapi
Njoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maanaππSafar za site nk
Aje a sign sitebook kwa Mkuu wa shule ujenzi wa madarasa, ZahanatiNjoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maanaππ
Njoo ukodiwe boda na Mwalimu wa ManunuziSafar za site nk
π π π π π€£π€£π€£hatariNjoo huku halmashauri uone hizo site kwanza maanaππ
Ujenzi wenyewe unategemea nguvu za wananchi au shirikaAje a sign sitebook kwa Mkuu wa shule ujenzi wa madarasa, Zahanati
Mapema asubuhi Watu wanalamba AsaliπLeo Utumishi wamecharuka PDF zinamwagwa watu wanalambishwa asali
Za kutoshaLeo Utumishi wamecharuka PDF zinamwagwa watu wanalambishwa asali
Ukisikia unalala jobless unaamka mtumishi wa umma ndo hii π πMapema asubuhi Watu wanalamba Asaliπ
Waendelee na mwendo huu huu nasi tufikiweZa kutosha
Hatari mkuu ngoja na sisi wengin tusubrie majina yetuUkisikia unalala jobless unaamka mtumishi wa umma ndo hii π π
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaWakuu, Nimelamba asali.
Kama hadi mimi nimepata, amini na wewe pia utapata tu. Kwasababu kwenye ile oral hata sikumbuki vizuri maswali nloulizwa (Honestly).
Hii thread ni "Devinely Inspired." Abarikiwe alieianzisha.